Duru za siasa: Vijana, katiba mpya na kiu ya uongozi

Bila ya Azimio la Arusha madini ungeyakuta. Kuna mambo mengi yaliofanya madini uyakute. Moja ya ni technologia. Nikiwa shule ramani ya Tanzania ilionyesha sehemu nyingi zenye madini. Lakini sababu kubwa iliyosababisha kuto-extract rasilimali hiyo ilikuwa ni initial investment costs. Hata serikali ilijaribu wakati wa Nyerere lakini costs were prohibitive.

Miaka ya karibuni maendeleo ya kitechnologia na kuibuka kwa China kumefanya mambo mengi kuwezekana. Hivyo kusifu Azimio la Arusha wakati kulikuwa na pingamizi la kimitaji na kitechnologia itakuwa tunapoteza hoja.

Kuhusiana na Azimio la Arusha, ukweli wa mambo sio lazima litumike hili mambo mazuri yafanyike. Nimelisoma na sioni kitu chochote kipya au cha ajabu. Unaweza kulitumia kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa umma masikini. Lakini huwezi kulitumia kama msingi wa kuwasaidia masikini wenyewe.

Azimio la Arusha ilikuwa ni kazi ya mtu mmoja. Lilikuja kama amri za Mungu zilizoletwa na Nabii Musa pale alivyotelemka kutoka kwenye mlima Sinai. Watanzania hawakuwa na mchango wowote. Hivyo kuwapa watanzania ownership ya kitu ambacho sio chao si kuwatendea haki. Azimio la Arusha ni mali ya chama cha mapinduzi, libakie huko huko lilipo.

Kama unaliona linafaa unaweza kulifuata. Unaweza kufuata miiko yake. Unaweza kujenga vijiji vya ujamaa na kuishi huko. Kama utafanikiwa tutakufuata.

Kuhusiana na ujenzi wa taifa. Umefika wakati mnaolipenda Azimio la Arusha, kukubali kuwa kuna watu hatuliamini Azimio hilo kama msingi wa maendeleo na tuna haki zetu za kikatiba. Pili nchi inaongozwa kwa kutumia katiba na sheria za nchi. Azimio la Arusha sio sehemu ya katiba au sheria ya nchi. Ulikuwa ni mwongozo wa TANU na CCM. Tusio wanachama wa CCM mwongozo huo hautuhusu.

Kuna kitu unaki miss ktk Uchangiaji wangu, Kama ukinielewa nadhani tunaweza kwenda sawa. Sipo kutetea azimio la Arusha kwa maana ya kwamba tunapaswa kurudi na kulitumia, Bali nipo kulitetea azimio la Arusha kwa maana ya kwamba, mabadiliko ya mifumo mingi ktk Taifa letu yalipashwa kujengwa ktk misingi ya azimio la Arusha kisha tukaenda nadhani tungekuwa pazuri sana na huenda utendaji kazi mbovu wa serikali ya sasa usingekuwepo.

Tofauti na Kukuta madini, Suala la kutokuwepo kwa ukabila mbona hujagusia kuwa ni zao la azimio la Arusha? Kumbuka pia kuwa Ardhi ambayo Leo hii hata masikini kabisa nchi hii anaweza kuimiliki ni zao la azimio la Arusha, bila hivyo Leo hii Ardhi yote nchi hii ingekuwa inamilikiwa na vigogo, mfano mzuri ni Kenya, angalia Ardhi inamilikiwa na kina nani?, Zimbabwe Leo hii Mugabe anachukuwa na Magharibi kisa ni Ardhi. Acha hiyo, Kiswahili je? I wish ungejua thamani Yake ambayo sisi tunaichukulia poa tu.

Ukisema azimio la Arusha ni kazi ya mtu mmoja ni kweli, lakini tambua kwamba kuwa kazi ya mtu mmoja sio sababu hasa ya kufanya jambo kuwa baya, nikukumbushe tu kuwa hata hii siasa na mifumo yote ni kazi ya mtu mmoja mmoja na muendelezo wake ulianzia kwa huyo mtu mmoja kwa kuchambua Udhaifu na uimara na kisha kuja na kizuri zaidi kulingana na mabadiliko ya mazingira na nyakati

Mfano, Katiba ya Marekani, Katiba yeye Democrasia kuliko zote( kwa sasa na kwa tafsiri ya Democrasia ) ni kazi ya mtu mmoja ' Thomas Jefferson '.Pia alitumia kazi ya mtu mmoja John Locke ( hivyo suala la mtu mmoja sio Tatizo)

Ukisema umelisoma na huoni kitu Kipya , ni kweli inawezekana, lakini haijalishi ulichosoma, Bali ulichosoma na kutafakari .

Point yangu kubwa ni kwamba, Kuna vitu vingi sana tulikurupuka katika Taifa hili, na ninapojaribu kuhusisha azimio la Arusha ni kwa maana ya kwamba, Mabaya ktk Taifa letu hivi sasa, ( huenda) hata tusingekuwa nayo endapo misingi ya ujenzi wa Taifa letu ingeanzia ktk azimio la Arusha,( this is what I think, na sitaki kulazimisha Maoni yangu yawe kweli, Bali napokea Maoni tofauti na kuyafanyia kazi pia). Na Kama Leo hii Taifa letu lingekuwa pazuri zaidi kuliko Enzi ya azimio la Arusha, hakuna Mtanzania angewaza kuhusu azimio la Arusha tena ( tunalazimika ku kumbuka kutokana na kuwa kwa sasa tulipo ni pabaya kuliko kule nyuma Enzi za azimio la Arusha ), Kabla ya kuyumba kwa serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa ccm kwa miaka mingi, hakuna aliyekuwa anawaza kuhusu azimio la Arusha.

Nadhani kidogo utakuwa umenielewa sasa.
 
Masahihisho kwanza. Katiba ya Marekani ilitungwa na wawakilishi (Framers) kutoka kila Jimbo. Hivyo ilikuwa sio kazi ya mtu mmoja. Na wakati katiba inatungwa Thomas Jefferson alikuwa ni balozi wa Marekani nchini Ufaransa. Jefferson alichofanya ni kuandika declaration of independence. Na hakufanya pekee yake. Watu wengine walishiriki katika kuandaa vipengele na draft ya mwanzo.

Vilevile kutokuwepo kwa ukabila sio zao la Azimio la Arusha. Toka tumepata uhuru , makabila ya Tanzania yalikuwa yana uhusiano mzuri na tulikuwa tumechanganyika. Mfano mkubwa ni chama cha TANU, kilikuwa na wanachama wa makabila yote. Hivyo unatoa credit kwa vitu vilivyokuwepo. Kuhusiana na masuala ya umilikaji wa ardhi, masikini wa Tanzania walimiki ardhi kabla ya Azimio la Arusha.

Tukirudi kwenye mada, nakuelewa unachozungumza kuhusiana na Azimio la Arusha. Lakini naona unashindwa kujifunza mapungufu yake. Azimio la Arusha lilitegemea Nyerere kuwepo madarakani. Pale alipoondoka madarakani, nguvu yake ilipungua. In other words, it wasn't a living document. Kama tupo kwenye mjadala huu kujadili katiba itakayotumika kwa kizazi cha sasa na vile vinachokuja bila kutegemea kulindwa na walio madarakani au falsafa ya kisiasa, basi ni lazima tuangalie vitu vinavyofanya Tanzania kuwa taifa na watanzania kuwa pamoja.

Kwa mfano Azimio la Arusha linatangaza kuwa Tanzania ni nchi ya wakulima na wafanyakazi. Tanzania sio nchi ya wakulima na wafanyakazi pekee yao. Je mkulima sio mfanyakazi? Huwezi kutumia vipengele kama hivi katika utunzi wa katiba mpya.
 
As i said before, kuna kitu kidogo sana tunapishana and i can see nikijaribu kuendelea kukuelewesha na unielewe, nitakuwa bado nazidi kuchangia hoja ndani ya hoja. I advice you kitu kimoja, anzisha Topic mpya ya Azimio la arusha then sote na wachangiaji wengine tutajumuika ktk kuchangia hiyo kuhusu azimio la arusha in more details.

The fact is hii thread inahusu 'vijana, katiba mpya na uongozi' na discussion ya azimio la arusha mwanzo niligusia tu kama moja ya utetezi wa hoja zangu na sikutaka kwenda nje ya hoja, but responding tom your arguments nitatoka nje zaidi, something which i dont think is the right thing to do, na itakuwa ni kama kudharau mwanzilishi wa mada hii. hivyo kiongozi start something new then tutabadilishana mitazamo katika kujenga na kisha tutafikia lengo letu la kupanuana mawazo pia, what do you think?
 
Unazidi kujichimbia katika shimo la kuchangia hoja ndani ya hoja kwa sababu unatoa mifano ya kuthibisha hoja zako isiyo sahihi au dhaifu. Unataka tukubali unaposema Thomas Jefferson aliandika katiba ya Marekani. Unataka tukubali kuwa bila Azimio la Arusha hatuwezi kuwa na katiba nzuri.
 
Fuata ushauri wangu hapo juu,nipo online nitakusaidia kujua mengi zaidi ya hayo, ila sitakulazimisha na wala huwa sipo kwaajili ya kulazimisha Mawazo na Mtazamo wangu kuwa kweli, na ukikubali kujadili kwa kujifunza itakusaidia sana, lakini ukitaka kujadili kwa kulazimisha ku win arguments bado nitakushinda vizuri tu, najua njia zote za ku win arguement brother( if you need this, anzisha mada nikudhihilishie hii).
 
Ukishajua kuwa Thomas Jefferson's work influenced the US constitution, ndipo ikapatikana, pamoja na watu kama kina John Adams na Thomas Pain, ukilitambua Hilo ndipo nitakusaidia kujua ni kwanini namaanisha kumtaja Jefferson, Na hata wakati mwingine ukishuka kuwa John Locke is the founding father wa America pia usikurupuke sana kushupalia kubisha. What maters is not what you say but how you say it. Nitajitahidi kidogo kidogo kukuelewesha na utanielewa tu.
 
Naona unielimishe nilikimbia umande.
 
Mh. JANUARY MAKAMBA, KIJANA ANAYETETEA S2
-ANATETEA HOJA BILA KUTOA HOJA
-AMECHOKA KIMAWAZO, KIJANA KIUMRI, KIBABU KIFIKRA
-HATARI NYINGINE INAYONYEMELEA TAIFA HILI, MUNGU TUEPUSHE

Katika BMLK lililomalizika, kijana January Makamba alitoa hoja kuhusu muungano.
Makamba ni mmoja wa vijana wanaopigiwa upatu wa kuliongoza taifa hili.
Katika video hii , msikilize kwa utulivu
https://www.youtube.com/watch?v=sCJGL9GZog8

Video hiyo Makamba amejinasibu yeye ni mmoja wa viongozi wanaokuja (U-Rais?) na asingependa kuongoza taifa la kugawana madeni na mali kunakotokana na serikali S3.

Mhe Makamba amesema uwepo wa S3 utaua muungano.S2 ni tunu ya taifa. Akamkariri mzee Lusinde akisema waasisi walitafakari miundo yote na kufikia hitimisho la S2.

Kwa haraka tunaona jinsi gani Vijana kama January ima wasivyoweza kutafiti mambo, au wanavyotumia elimu zao kuwadanganya wale waliokosa.

Mheshimiwa Makamba hajui historia ya muundo wa sasa wa muungano kwamba haukujadiliwa na chama (TANU AU ASP), Wananchi au kamati yoyote wala hakukuwa na washauri walioshirikishwa.
Mh Jan haelewi mwanasheria mkuu wa ZNZ marehemu Wolgong Duarado alipewa likizo ya lazima ili atoe nafasi ya muungano kuundwa.

Makamba hakufuatilia jinsi muungano huo uliundwa ndani ya wiki mbili au tatu huku Karume akisema 'wewe ni Rais mimi ni makamu'.

Hata baada ya hapo mgogoro kati ya waasisi ulikuwa mzito kufikia mahali hawakukutana bali kupitia wawakilishi wao.

Hilo tu linaonyesha muungano uliundwa katika mazingira ya haraka na hakukuwa na nafasi ya kujadili muundo kwa undani. Hii haina maana wazee hao hawakutafakari, la hasha, ina maana mazingira ya kuundwa muungano wakati huo si sawa na sasa kwa tafakuri.

Muungano ukiundwa ilikuwa ni miezi 4 tu tangu mapinduzi na miaka 3 tangu uhuru.
Nchi zilikuwa changa zikikabiliwa na changamoto.Tuliwahi kushuhudia maasi ya jeshi yaliyotokana na changamoto za kutoka ukoloni kuelekea uhuru (transition)

Tulishuhudia Africanization, Azimio la Arusha n.k. kama changamoto za taifa changa.

Kwa upande wa znz, hakukuwa na bunge ila baraza la mapinduzi.
Hakuna nyaraka inayoonyesha suala hilo kujadiliwa ndani ya baraza la mapinduzi kiasi cha makamba kutulaghai kuwa muungano wa sasa ulijadiliwa kwa kina saana.

Aina hii ya walaghai wanaojinasibu kuwa viongozi wa siku za baadaye ni hatari na ya kuangaliwa kwa macho makavu.

Kuhusu Tawkimu:
Mh Makamba anasema sera ya CCM ilikuwa ni S2 ndiyo maana walipewa kura za kutosha kupata wabunge wengi. Hiki nacho ni kituko kutoka kwa kijana wa mwaka 2014.

Mheshimiwa Makamba anashindwa kuelewa, kama ilikuwa ni sera ya CCM, iweje basi mwenyekiti wa CCM aanzishe mchakato kinyume na sera ya chama chake?

Endapo anayoyasema ni kweli, basi atakuwa anamnanga mwenyekiti wake kwa kukiuka sera za chama na kwa kutumia mabilioni ya pesa akijua kuwa chama chake chenye wabunge wengi hakitakubaliana na mapendekezo tofauti na S2.

Makamba anapaswa kuelewa kuwa nchi yetu hatujafikia mahali pa kuamua sera.
Wananchi wengi hawajui sera ndiyo maana ndani ya katiba ya CCM, nchi hii ni ya ujamaa na kujitegemea.

Ndani ya serikali ya CCM ambayo yeye aliwahi kufanya kazi Ikulu kama msaidizi wa Rais, ni yeye aliyekuwa anapigia debe ubepari, mikataba na mambo mengine yanayowaumiza wananchi.
Je, wananchi wajilaumu kwa kuchagua chama kisichotekeleza sera zake.

Ni nani wa kwanza kusotwa kidole kama si huyu msaidizi wa Rais aliyeshiriki mikataba mingi ya ulaghai na hata kuandika hotuba za kuficha uchafu kama wa Radar?
Si huyu Makamba alishiriki kikamilifu, leo ushujaa wa kutamka sera anaupata wapi.

Na mwisho, Makamba ameongelea S3 zitaua muungano.
Hakueleza namna gani zitaua ila anaamini zitau tu, kwasababu anaamini zitaua.
Hana sababu bali imani tu kama ile ya wanaoamini ukipiga miluzi usiku unaita mashetani.

Anachosema ni kuwa yeye hataki kushiriki katika kugawana mali na madeni pamoja na wafanyakazi katika kipindi cha mpito kuelekea S3.

Mbona tayari hakuweza kuzuia hilo pale znz ilipoamua kugawana mali kwa kuondoa mafuta, kuvunja muungano kwa katiba ya 2010 na kugawa watu kwa sheria za ukazi na ukaaji ?

Hivi MAkamba anaamini kuna muungano kama Rais wa muungano na waziri mkuu wanahitaji vibali vya kuishi na kufanya kazi znz. Huyu ni kijana au ni mzee! honest

Lakini pia Makamba atueleze, je ni kipi bora kugawana mali na madeni ili tuishi kwa amani au kuendelea na manung'uniko ya miaka 50 ambayo yeye akiwa Ikulu haukuweza kuyashughulikia?

Makamba aliyeshindwa kuzuia ada ya simcard leo anatuaminisha anaweza kuzuia vumbi na wingu la muungano. Hii ni nini kama si white elephant. Kwamba Makamba hawezi kuua swala, anaweza kupambana na Simba. January, Jan! January!! please tunahitaji break! Makamba! Jan.

Makamba ni kijana kwa umri, kwa fikra nadhani Kingunge Ngombale, Pius Msekwa, Warioba, Salim Ahmed, Butiku ni vijana zaidi yake.

Tofauti ni moja tu, Makamba ana uso angavu na hawa wazee wana tawira za umri wao wa busara.

Kinyume chake hakika nitamwalika Warioba tukacheze naye 'pool' nikiogopa kukutana na mzee January Makamba kijana wa kufikirika. Kijana anyeishi katika enzi za Richard Turnbul.
Kijana asiyeona na laiyejaa hamasa ya kuliongoza taifa hili kuelekea porini.
January ana matumaini, sisi hatuna matumaini naye. Ni mfano wa vijan tunaosema katika uzi huu.

Tusemezane

Baada ya kumuangalia kwa juu juu Kijana Mkamba January na jinsi alivyokosa hoja na maonoya taifa hili, duru za siasa tunaendelea kuwamulika vijana wengine.
Katika orodha ndefu wapo wabunge vijana waliojificha ndani ya bunge lakini wazuri wa kelele vijiweni.

Tutaendelea na wabunge wa Dar mmoja baada ya mwingine, Tabora, na kundi la wale wasiochaguliwa bali kuteuliwa.
Katika kundi hili kuna viti maalumu vijana, na viti maalumu jinsia.

Anayefuata ni John Mnyika (Chadema)
 
TULIYOYAONA BUNGE LA KATIBA HAYAKUANZIA HAPO
KUVIA KWA VIJANA WA TAIFA HILI KUMEANZA MBALI

SIKIA WASOMI WA SAUT (CHUO KIKUU) !!!

Kwanza,tunaomba mpitie uzi huu ili kupata ladha ya kile tunachokisema
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...waambia-ukawa-hakuna-juisi-ya-bure-ikulu.html

Katika BMLK tuliona vijana wakisimama na kutoa hoja za kutisha kusikitisha na kukatisha tamaa.

Kutofautiana kimawazo ni jambo jema kabisa,wala hakuna sababu za wanadamu kuwa na mtazamo mmoja.

Katika bunge la katiba, wapo waliotetea serikali 2, serikali 3, 1 n.k kulingana na mitazamo yao.
Kilichotia kinyaa ni jinsi vijana wa taifa hili walivyokosa uwezo wa kujega hoja kwa maono na mashiko.

Ni kwasababu hizo, anapotokea mtu akajenga hoja tofauti na wao, mtu huyo huonekana shujaa hata kama hakuna ukweli wa anachozungumza. Inahitaji nguvu kidogo tu kuwashinda vijana wa taifa hili kwa hoja.

Tuliwasikia vijana waliosema wanataka serikali 2. Vijana hao hawakuwa na hoja za msingi za kushawishi umma kwanini kuwe na serikali 2. Hawakuwa na hoja za msingi za kushawishi umma kwanini tusiwe na 3 na hawakuwa na hoja za msingi za kwanini tuwe au tusiwe na muungano.

Wengi tukajiuliza huko bungeni huenda ikawa ni tatizo la kusaka tonge, kwamba wabunge wanaweza kuambiwa lolote na kufanya bila tafakuri.

Tumeona wakiambiwa wapige kura za wazi au siri na wao kuitikia tu hata kama ilikuwa kinyume cha matakwa yao. Kwamba, vijana wa taifa hili wamekuwa watumwa, ilimradi shilingi ipo mbele yao, wanaweza kuwaweka hata wake zao rehani.

Ni makosa kudhani tatizo lipo kwa wabunge wetu.
Ukweli ni kuwa mfumo wetu wa kuandaa vijana ni mbovu sana.

Hili ni tatizo ambalo limeonekana hata katika soko la ajira.
Vijana wanapolalamika wenzao nchi jirani wanaajiriwa nchini , wengi wanadhani ni uonevu.
Ukweli ni kuwa mfumo wetu ni mbovu unaoandaa wasioweza kuingia katika ushindani wa dunia ya leo.

Ukitazama link hapo mwanzoni, utaona vijana wa chuko kikuu cha SAUT wakiwa na mabango yanayosema, serikali ni 2 hawataki utitiri wa serikali.

Tena wanasema wataulinda muungano kwa gharama yoyote.
Hayo yangesemwa vijijini tungeweza kuelewa tatizo la kofia, kanga na pilau na kutoa benefit of doubt.
La hasha, yamesemwa chuo kikuu cha SAUT

Nimefuatilia mkutano huo nikitarajia nitasikia jambo la maana kuhusu utitiri wa serikali au kwanini serikali mbili.Nilitegemea kusikia namna matatizo yaliyopo yatakavyomalizwa kwa hoja zenye mashiko.

Nilichoambulia ni watu kurudisha kadi na kuhamia CCM kwasababu Nape kawashawishi siku moja na wala si wao kutafakari kwa siku nyingi.

Hii ni dalili njema kuwa wasomi wetu hawana hoja za kushawishi. Wasomi wa SAUT nao wamejipanga kuchukua kadi kama wanavijiji. Hawawezi kusimama na kuongea jambo la kusaidia taifa hili.

Mbili zinatosha ndilo jibu la matatizo ya muungano kwa mujibu wa vijana wa SAUT.

Nikikumbuka enzi hizo pale UDSM, mijadala ilikuwa ya kimataifa na hakiki ungeweza kukaa katika mjadala kwa masaa 4 ukadhani ni dakika 10. Watu walikuwa wanamwaga data na hoja, wakitoa reference na iliposhindikana kwenda maktaba kutafuta ukweli.

Leo tuna vijana wanasema mbili zinatosha, wanavaa T-shirt na kupiga picha baasi, inatosha.

Taifa hili lina matatizo makubwa, sio katiba tu bali inaeleza kwanini vijana wetu hawawezi kuingia katika soko la ushindani.

Hivi kijana kutoka SAUT unaweza kumweka chumba kimoja na kijana wa Kampala au Nairobi University kwa hali tunayoiona sasa ukadai kijana wetu ameonewa!

Tusemezane
 
JANUARY MAKAMBA AJITOSA URAIS
AJA NA TAMBO ZA KUOMBWA NA SI RECORD YA UTENDAJI
ALAMBA MATAPISHI YAKE NDANI YA BUNGE LA KATIBA

Wiki hii January Makamba '' amejitoa mhanga'' kwa kutangaza kuwania nafasi ya Urais.
Hoja aliyojenga ni kuombwa na watu agombee na hivyo kuipa hoja hiyo tafakuri.

Makamba amejijigamba kuwa ni wakati wa fikra mpya zinazotokana na vijana.
Kama kawaida ujana umetumika kama sifa ya kuwania uongozi wa taifa hili.

Makamba alikuwa mwandishi wa hotuba za Rais. Kwa sasa ni waziri wa wizara ya mawasiliano.
Kitu asichokijua Makamba ni kuwa ujana si sifa ya fikra mpya.
Historia ya taifa letu inaonyesha wazi kuwa hatujawahi kutawaliwa au kuwa na kiongozi mzee.

Nyerere alikuwa Rais katika umri wa miaka 40. Pius Mseka alikuwa katibu wa chama cha TANU katika umri wa miaka chini ya 30.
Salimu Ahmed alikuwa balozi akiwa na miaka 23.

Ndivyo ilivyokuwa kwa wengine akina Mkapa, hata Mwinyi kwa kuangalia historia zao za huko nyuma.
Bosi wake Kikwete aligombea akiwa na kauli mbiu ya ujana.
Hatujui uzee unaanza lini, tunachojua ni kuwa miaka 10 ni michache ya kumhamisha mtu kutoka rika la ujana na kuingia uzeeni.

Makamba anataka kutuaminisha kuwa baraza la mwaziri la kwanza na mengine yaliyofuata ya JK yalikuwa na wazee.
Ukweli ni kuwa mabaraza hayo yalijaa vijana kwa ushahidi wa kikwete '' Tumeweka wazee walainishe vijana maana kukiwa na vijana watupu nchi itawaka moto''

Katika miaka 10 iliyopita, hakuna serikali iliyotokea kuwa na mambo maovu kama ufisadi na ukosefu wa nidhamu kama hii anayoitumikia January.
Tunaona mawaziri wanavyosema hovyo, kulumbana hovyo, kutokuwa na mipango endelevu na kukumbatia uchama badala ya utaifa.

Makamba ni mmoja wa vijana wanaounda serikali hiyo.
Hakuna mahali au rekodi inayoonyesha Makamba kukerwa na hali ilivyo sasa hivi.

Kinyume chake Jamuary ameonyesha udhaifu wa hali ya juu sana pale aliposhindwa kusulubisha kamgogoro ka kodi ya Simcard.
Huyu aliyeshindwa kijimgogogoro hicho ndiye anatuaminisha ana fikra mpya kabisa.

Uongozi wa nchi hupatikana kwa sifa na si jinsia au wajihi.
Tunakumbuka miaka ya nyuma, waliotangaza kugombea kama akina Mzee Msekwa, akina Mtei, Malecela, Msuya, Salim Ahmed Salim n.k. CV zao ziliziba kabisa nafasi za watu kuomba Urais kwa njia ya 'abuse'.

Tunasema ni abuse kwasababu, Makamba licha ya sifa ya ujana na kuombwa na wanavijiji na waendesha boda boda, hana, narudia hana rekodi nyingine yoyote ya utendaji tunayoweza kuiweka mezani.

Hakuna mahali January anaweza kusimama na kutetea rekodi yake ya utendaji, ubunifu na utekelezaji isipokuwa Bumbuli.

Kuogoza nchi si kuandika hotuba. Leo tunajua hata hotuba alizokuwa anasoma JK ambazo nyingi zilikuwa na makosa ya kiufundi na kiutalaamu zilikuwa na mkono wa January. Je, hotuba hizo ndizo rekodi za utendaji wa Makamba?

Tuna rekodi chache zinazojitokeza by the way. Moja ni hii ya kushindwa kusimamia suala la simcard iwe kwa nia njema au kwa kuzuia. Makamba hakuonekana na wala impact yake haikuonekana.

Rekodi ya pili ni ile ya mswada wa nyumba za kupanga ambao uliishia chini ya kapeti.

Rekodi kubwa sana ya hivi karibuni ni ile inayomuumbua January mbele ya uso wa dunia.
Wakati wa bunge la katiba, makamba anaonekana akiseama S2 ndio muafaka kwasababu CCM walichaguliwa kwa wingi wao na wananchi na hivyo wingi wao ndani ya BMLK ni kutokana na ridhaa ya wananchi. Fair enough

Alipokuwa akihojiwa na BBC January akaibuka na kusema suala la muungano atalirudisha liamuliwe kwa maoni ya wananchi. Makamba amesahau kuwa maoni hayo ya wananchi ni yale ya tume ya Warioba ambayo amesimama ndani ya bunge na kuyapinga.

Hawa ndio vijana wenye kiu ya uongozi. Flip flops zao na kulamba matapishi ni sehemu ya maisha yao, bado wakituaminisha wana fikra mpya na wamedhamiria kwa dhati kuliongoza taifa.

Ni makosa kumlaumu Makamba kwa vile suala la uongozi wa nchi hii hasa Urais limerahishwa sana kiasi kwamba every hoodlum anaweza kutangaza tu kuwa Rais bila sera wala sababu au rekodi katika utumishi wa taifa hili.

Ndiyo maana tunasema, katika taifa lililojaa 'imbecile' wanaoweza kudanganywa kwa kofia na khanga, kama hatutasimama kuwasota vidole hawa wababishaji tunaweza kujikuta tumeangukia pua tena kwa miaka mingine 10.

January Makamba licha ya kusema ameombwa na ni kijana, hana kingine kinachomsukuma kuwania nafasi hiyo ya juu kitaifa.

Duru za siasa tunasema, January, tuonyeshe rekodi yako kwanza hata kabla ya kuchukua fomu.
Kinyume chake tutasimama mguu sawa kuhakikisha taifa hili halipati tena viongozi wanaokopa kwa watu binafsi, wasio na uwezo wa kudhibiti nidhamu, wanaochekelea ufisadi na wasiowajibika kwa yale wanayoyafanya.

Kwa kuanzia Makamba ana fit katika kundi hilo kama waziri, unless ataumbie rekodi yake ni ipi katika utendaji wa taifa hili tukiacha ya ujana ambao kila mmoja anao au aliwahi kuwa nao, January ana mengi ya kutujibu na si kueleza ndoto za maono yake kutoka chumba cha kulala.

Tusemezane
 
JANUARY ATUONYESHA CV YAKE
ANAITUMIA KUJENGA HOJA YA UWEZO WAKE

Katika kile tulichotarajia, January kwa namna fulani amejibu hoja zetu kwa kutoa habari katika blog yake na kuiweka JF.
Tunajua hizo ni jitihada za kuonyesha uwezo wake baada ya kumuuliza nini kikubwa amelifanyia taifa hili.

Hoja ya ujana inaonekana kumzidi, hakuna kiongozi wa nchi hii aliyechaguliwa kuingia katika uongozi wa nchi akiwa mzee. Tumeonyesha akina Salim Ahmed waliokuwa ni watoto wa miaka 23 achilia mbali vijana wa miaka 40 kama Janaury Makamba.

Katika habari aliyoleta kwa lugha njema sana ya kingledha, January ameonyesha jinsi alivyokuwa anaambatana na Rais, alivyokutana na George Bush na mambo mengine akiwa aide de canp wa Rais Kikwete.Well, Jnuary, kuna vitu viwili vinatawala dunia ya sasa.

Kuna CV kutokana na kisomo chako, na kuna experience (uzoefu wako katika kazi)
Halafu kuna kitu kinasemwa 'track record and evidence based CV''

Unaweza kuwa Daktari, Engineer au Lawyer katika kiwango cha kubobea. Kwa dunia ya leo watu wenye sifa kama hizo ni wengi wanaoweza kupatikana mitaani. Mwajiri anauliza nini kinachokufanya u-stand out of the crowd katika nafasi unayoitaka.

Halafu mwajiri anakuuliza umefanya nini cha kumuonyesha kuwa wewe unaweza.
Na mwisho Mwajiri anauliza utaleta nini katika nafasi unayotaka upewe(bring on the table...)

Hili ndilo tatizo linalowakabili Watanzania wengi pia.
Unakwenda kwenye interview ukiwa na vtabu kichwani. Mwajiri anataka mtu ambaye ni 'result oriented'.

Unashangaa ukiwa na Master yako unaachwa anachaguliwa mtu mwenye Dipoloma.
Nina maana kuwa mwajiri anaangalia historia na kugundua huyu mwenye Diploma, ana knowledge ya kiwango chake lakini pia ana uwezo wa kufanya mambo akiwa na uzoefu tena kwa ushahidi.

January amekuja kwa sisi Waajiri wake watarajiwa akiwa na CV ya kula na kunywa na George Bush na akina Clinton.
Ana CV nzuri ya kubeba mikoba ya Rais na kusikiliza majadiliano ya viongozi.

Hiyo ni sehemu tu ya sifa anazoweza kuweka kupamba CV, siyo red meat.
Kikubwa tunachotaka ni yeye atuonyeshe ametumia uzoefu huo kwa namna gani katika taifa hili.

Kusikiliza mazungumzo ya Rais katika Cabinet hakutoi uwezo wa kufanya maamuzi.
Ukisoma maamuzi ya viongozi, mengi hutokana na uamuzi wa mwisho wa mtu mmoja.
Hapa ndipo Makamba anpoelekea, kuwa yupo tayari kusikia Tanzania imevamiwa, tunakopa benki za biashara tufanye nini.

Hakuna mahali Makamba ameonyesha kuwa anaweza kuwa na maamuzi katika mambo makubwa.
Ila tunasoma tu kuwa ni sehemu ya mtu aliyeandaa kwa maandishi maamuzi yaliyofanywa.
Kila mtu anaweza kufanya hilo na si lazima awezaye agombee Urais

Makamba tuna historia ya wewe kushindwa kutoa maamuzi ya jambo dogo kama Simcard.
Leo unatuaminisha unaweza kuwa Amir Jeshi kwasababu umesikia Rais akizungumzia mambo hayo sana tu. Hatuendi hivyo.

Ujumbe wetu kwa Makamba ni kuwa CV yake tumeisoma, haijatushawishi kuwa yupo tayari kwa prime time.
Hakuna experience,innovation ya aina yoyote.

January kula chakula na Obama ni toafuti na kuangalia mustakabali wa watu milioni 43.
Bado, na kadri unavyoongea unazidi kutotoa mashaka tuliyokuwa nayo.

Tusemezana
 
Ulimopita ndio nilichowaza baada ya kusoma post waliyoweka watu wake wa Propaganda.Hawa watoto wa wanasiasa wa Tanzania, wanafikiria kuzaliwa ndani ya familia hizo kunawapa cheti cha kuongoza hii nchi milele. Si vibaya tukifikiria kwenye katiba tuweke tawala za kifalme zisizo na meno yoyote zaidi ya kuwa "symbolic", halafu tukawajaza humo kina Makamba, kawawa, kwikwetes wote,wapewe state recognition kama wana mfalme, wapigiwe matarumberta kwenye dhifa za kitaifa, lakini wasiamue MUSTAKABALI wa nchi yetu. ndicho walichofanya waingereza, na wamefanikiwa kwa kiasi flani.kina prince Charles asilimia kubwa ya majukumu yao ni kupokea wageni na kuhudhuria sherehe, waingereza wanaingia hasara ya kuwalea, lakini opportunity cost ya kuwatenganisha hawa "bozos" na mambo ya msingi ya utawala wa nchi ina faida kubwa zaidi.Majina kama Lord makamba, prince ridhiwani, prince kawawa yanawafaa zaidi zaidi ya hii fedheha ya kuwasikiliza kila siku wakijifanya wenye funguo ya matatizo yetu wakati wameya-groom kwa miaka 50.
Kuna sehemu huyu Makamba anasema kuwa kuitwa "makamba" kunampa budern ya ku-prove kuwa ana-worth the name. Bila kujua kuwa Baba yake alikuwa Mwanasiasa, Bila kujua kuwa nafasi zote alizopewa hajawahi kushindanishwa ili kuzipata. Huyu Makamba anashidwa kutofautisha kuwa watu wanaweza kulinganisha kama mtoto wa Michael Jordan kama anafikia "hype" ya kuwa mtoto wa basketball legend,kwa kuwa ili afikie kiwango cha mzazi wake, inabidi aoneshe ujuzi sawa na alioonesha mzazi wake.

Kwenye siasa hii ni tofauti, Nafasi zote huyu bwana kapewa kutokana na jina lake..,asifanye watu ni wajinga kuwa Kikwete analipa fadhila kwa Mzee makamba. asitufanye sisi wajinga kuwa Vodacom connection ya kina Rostam ndio inamuweka alipo yeye na dada yake. Huyu bwana mdogo alipewa nafasi ndogo sana ya kuonesha uwezo wake wa siasa, akachakachua hadi kura za maoni-whatever ili apite bila kupingwa, this is 90% re-election comedies za kina Kagame na Kim Jong Un.

Hiyo abstract aliyoweka ya uzoefu wake ni vichekesho at best, huwezi kusema nimekuwa na uzoefu wa kutosha wa udaktari bingwa kwa kufanya kazi na daktari bingwa.kama kufanya mazungumzo na mahojiano na viongozi wengi duniani, basi Larry King angekuwa Raisi wa Marekani siku mingi.

Yani hawa jamaa kuishi/kukaa jirani na raisi kumeshawafanya wajione "presidential material". kwa jicho latatu tunaambiwa ni jinsi gani magogoni kulivyokuwa kunaendeshwa kimzahamzaha kwa miaka 9 iliyopita.
 
Kuna wakati nilidhani nitakuwa na matatizo, nikajiuliza sana kwanini naona vitu tofauti na wenzangu wengine? Nasema tofauti kwasababu nashangaa kuna watu wanaamini kabisa hata visivyoelezeka.

Ninaposoma habari kama hizi za Kimweri, nafarijika kuwa sina tatizo bali kuna tatizo katika jamii yetu.
Tatizo la kumfikiria January tu! ni tatizo kubwa sana.

Tunajua Makamba alikuwa anamuibia mikakati ya chama wakati wa kugombea Urais.
Shukrani ya kwanza ya JK ilikuwa kumteua katibu mkuu mara moja.

Makamba mzee ali organize JK kususa Lumumba na kumbwagwa Mangula, wakahahikisha uenyekiti wa mkoa hapati!

Tunajua pesa za Vodacom na Ufisadi ulilindwa na Mzee Makamba.Hadi leo Mzee wake January hataki kumsikia Mwakyembe au Shelukindo.

Adhabu ya kwanza alipewa Shelukindo. Watu wa state wakauchakachua uchaguzi, kumwaga pesa za Vodacom, ili Shelukindo afike mwisho wa safari na ashike adabu.

Fadhila za pili ni kumteua kijana wa mzee hapo Ikulu.Yote yamefanyika kwa technical know who, not technical know how.

OK, pamoja na kubebwa na exposure ya kimataifa, inasikitisha January ana kitu shallow na irrelevant kama anachokifanya,hana track record ya utendaji wa taifa hili. Hana hata moja.

January hajaeleza kwanini anafaa kuwa Rais. Kula na George Bush au ametembea duniani hakutusaidii.

Daktari wa Kikwete, au Premi Kibanga, Slava n.k. wanazunguka na Rais, je nao wana sifa ya kuwa Rais kama aliyo nayo January Makamba?

Kuitwa Makamba siyo worth the name, ni worst the name! Mzee Makamba hana legacy. Alilazimisha ajiuzulu CCM kwa utendaji mbovu. Mtu anaweza kutushawishi neno Makamba ni worth the name!

Upande wa corruption, January hawezi kusimama kwa lolote.Ni beneficiary wa corruption hasa scandal za Richmond na kwingine.

Kwasababu hana moral authority ya kukemea rushwa, hakuweza kuzungumzia suala la Simcard. Angeweza kuongea na kuudhii wala rushwa, au aongeee na kuudhii wanaombeba ambao ni serikali.

Ndipo najiuliza, kamgogoro kadogo kama kale Makamba hakuweza hata kusema, leo anaweza kutuambia na lipi la kusema kama Amir jeshi na mtu anayeamua mustakabali wa taifa la watu milioni 43.

Kwa kiasi kikubwa namshukuru January kwa kuongea, wale waliokuwa na wasi wasi kuhusu maoni yetu sasa hawana shaka tena.

Amethibitisha kuwa exposure yake haijamsaidia, kubebwa hakujamsaidia, kinachomsaidia ni kuwa mtoto wa Makamba. Hatuhitaji kiongozi wa namna hiyo! tuna viongozi maelefu, majina si sehemu ya CV.

Tunaletewa nyimbo zile zile za 2005...Mpeni kura huyu ni kijana, mtu wa watu, ana mvuto, ana uzoefu foreign afairs miaka 10 etc etc...
 
Back
Top Bottom