Duuh! Inonga Baka aanza dhidi ya Burkina Faso

Duuh! Inonga Baka aanza dhidi ya Burkina Faso

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Screenshot_20220923-200327_Chrome.jpg

Beki wa Simba Sc Inonga Baka ameanza kwenye cha Congo kwenye mechi ya kirafiki dhidi ya Burkina Faso. Hii imenistua kidogo,maana kosi la Congo limeesheheni nyota
 
Mbona anajua kazi yake
Tatizo akiwa bongo anapenda masihal zaidi. Kucheza na jukwaa
 
Inonga mbovu tu nilidhani kaitwa kucheza Afcon au Weldi kapu kumbe mechi ya kirafiki tu mayowe dunia nzima wamepata mwangwi wake wakati jamaa wanapumzisha vifaa tu! Inonga bado wa ndondo cup tu mchangani!

Promo kibao makelele mengi mnajifariji kwa kupokwa makombe yote na wananchi mara oooh Barabara kawa Rais wa FIFA mara Inonga beki wa dunia kushinda Maguire sasa Jangwani tunawaambia Kisinda msiempenda kaja shida iko pale pale!!au imeongezeka mtakoma!

Zile goli mbili za Mayele Lupaso huyo Inonga Varane wenu akiwa uchochoro na tobo la Aziz Ki kwa Tshabalala na shuti mita 60 la Feisal CCM Kirumba bado sijaona malipizi yake!
 
Inonga mbovu tu nilidhani kaitwa kucheza Afcon kumbe mechi ya kirafiki! wanapumzisha vifaa tu!

Zile goli mbili za Mayele Inonga Varane akiwa uchochoro na tobo la Aziz Ki kwa Tshabalala na shuti mita 60 la Feisal bado sijaona malipizi yake!
Displacement defensive mechanism, ni njia nzuri sana ya kuondoa stress. Uko vizuri mkuu.
 
Inonga mbovu tu nilidhani kaitwa kucheza Afcon kumbe mechi ya kirafiki! wanapumzisha vifaa tu!

Zile goli mbili za Mayele Inonga Varane akiwa uchochoro na tobo la Aziz Ki kwa Tshabalala na shuti mita 60 la Feisal bado sijaona malipizi yake!
pole,haya kunywa maji mengi ya kutosha maumivu yataisha.
 
Halafu Aziz ki kaanzia bench

Sent from Iphone 14 max
 
Back
Top Bottom