Duuh Kwa Hali Hii Diamond Hakufanya Kosa Kuwa Na Mtoto Nje

Duuh Kwa Hali Hii Diamond Hakufanya Kosa Kuwa Na Mtoto Nje

RGforever

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
6,878
Reaction score
5,432
d4efb62d38b77bb486c96f69269120c4.jpg


Hii Sura Jamani Ya Nillah Mbna Si ya Ki Almas Almas.. Na Why Diamond Huwa Hampost Sana Toto lake La kiume kama Alivyokuwa anakesha Na Tiffah Mapicha kila Saa
 
Diamond alichemsha. Iko siku atasema ukweli kwamba alichemsha. Katika hali ya kawaida kwa taratibu zetu za kiafrika sii vema wala hatutarajii kijana ambaye hajaoa kuoa mke aliyeachika tena mwenye watoto kama alivyofanya. Walioachika wanaoana wao kwa wao na wenye watoto inapendeza wakioana wao kwa wao. Aliingia chaka bovu. Litamtesa. Tusishangae siku moja akiombwa talaka itakayoambatana na kumlipa mamilioni huyo mama Tiffah. Mwanamke ni mjanja kuliko mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond alichemsha. Iko siku atasema ukweli kwamba alichemsha. Katika hali ya kawaida kwa taratibu zetu za kiafrika sii vema wala hatutarajii kijana ambaye hajaoa kuoa mke aliyeachika tena mwenye watoto kama alivyofanya. Walioachika wanaoana wao kwa wao na wenye watoro inaoendeza wakioana wao kwa wao. Aliingia chaka bovu. Litamtesa. Tusishangae siku moja akiombwa talaka itakayoambatana na kumlipa mamilioni huyo mama Tiffah. Mwanamke ni mjanja kuliko mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
Una mawazo ya kizamanii.
 
Back
Top Bottom