Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapanga kiwanja cha kwenda kupeleka nje na kuchenjua makinikia[emoji41] [emoji41] [emoji41] sijaelewa kwamba Zari anaomba atifuliwe kifusi au?[emoji41] [emoji41]
Sawa kabisa. Ndio maana siku hizi kuna kuku wa kisasa na kienyeji (zamani) ambao ndio wamezidi kuwa watamu. Sembe ya kisasa dona ya kizamani. Au sio.Una mawazo ya kizamanii.
Unaweza kuta wote wa jirani. Waafrika hatunaga shida na mtoto anayezaliwa muji wako labda mtu akuletee kelele.Kwa kweli....people wanapenda sana kufuatilia wenzao, aweke picha za watoto wake na ya kwake tuone na yeye tumchambue.....[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kdanganya umma kwan diamond kafunga ndoa lini cz watoto wote ni wa![]()
Hii Sura Jamani Ya Nillah Mbna Si ya Ki Almas Almas.. Na Why Diamond Huwa Hampost Sana Toto lake La kiume kama Alivyokuwa anakesha Na Tiffah Mapicha kila Saa
Ingawa na mimi ni mtu wa kale sana lakini sioni taabu ya mtu kuoa mwanamke aliyekwisha zaa watoto na mwanamume mwingine. Hayo ni maamuzi tu.Sawa kabisa. Ndio maana siku hizi kuna kuku wa kisasa na kienyeji (zamani) ambao ndio wamezidi kuwa watamu. Sembe ya kisasa dona ya kizamani. Au sio.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli hizo husda za wabongo tuMbona kwa haraka haraka naona kama hao watoto wanafanana pua na macho? au nivue mawani yangu ya balimi!?