uporo wa wali ndondo
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 3,455
- 2,240
hila huyu anafanana na marehemu.Ohoooooo!!!![]()
-Ndumilakuwili-
lazima tulipe kodi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hila huyu anafanana na marehemu.Ohoooooo!!!![]()
-Ndumilakuwili-
Umbea tu. We huoni domo?![]()
Hii Sura Jamani Ya Nillah Mbna Si ya Ki Almas Almas.. Na Why Diamond Huwa Hampost Sana Toto lake La kiume kama Alivyokuwa anakesha Na Tiffah Mapicha kila Saa
Asante mkuu nahis umemaliza utata walokuwa wanasema Mara pua Mara mdomo vya domo nahis wamejionea.. Yaan watu wabishiKama Mapacha
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/5fdbff7b129f8d2ffae9b3dae25ce916.jpg[/IMG
Huyu mtoto wa mwisho hakuwa wa Diamond kabisa, hakuna haja ya DNA mama alilirusha na bwana Ivan sirini.
[emoji41] [emoji41] [emoji41] sijaelewa kwamba Zari anaomba atifuliwe kifusi au?[emoji41] [emoji41]
Aombwe talaka vp kwan kaoa???Diamond alichemsha. Iko siku atasema ukweli kwamba alichemsha. Katika hali ya kawaida kwa taratibu zetu za kiafrika sii vema wala hatutarajii kijana ambaye hajaoa kuoa mke aliyeachika tena mwenye watoto kama alivyofanya. Walioachika wanaoana wao kwa wao na wenye watoto inapendeza wakioana wao kwa wao. Aliingia chaka bovu. Litamtesa. Tusishangae siku moja akiombwa talaka itakayoambatana na kumlipa mamilioni huyo mama Tiffah. Mwanamke ni mjanja kuliko mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine huwa hawafanyii kwenye kitanda[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Mkuu show ya ugiriki anaikumbuka anaiomba tena kifusi kikatifuliwe [emoji23] [emoji23][emoji41] [emoji41] [emoji41] sijaelewa kwamba Zari anaomba atifuliwe kifusi au?[emoji41] [emoji41]
AlaaaaWatoto wote hao ni wa mwanamke, kwa vile domo mwenyewe hakuoa.
Jamii Forums mobile app
EeeeehWatoto wote ni wa Diamond. Ebu acheni wivu na kufuatiria mambo za Diamond.
Sent using Jamii Forums mobile app