Duuh Kwa Hali Hii Diamond Hakufanya Kosa Kuwa Na Mtoto Nje

Diamond alichemsha. Iko siku atasema ukweli kwamba alichemsha. Katika hali ya kawaida kwa taratibu zetu za kiafrika sii vema wala hatutarajii kijana ambaye hajaoa kuoa mke aliyeachika tena mwenye watoto kama alivyofanya. Walioachika wanaoana wao kwa wao na wenye watoto inapendeza wakioana wao kwa wao. Aliingia chaka bovu. Litamtesa. Tusishangae siku moja akiombwa talaka itakayoambatana na kumlipa mamilioni huyo mama Tiffah. Mwanamke ni mjanja kuliko mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una mawazo ya kizamanii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…