Duuh Kwa Hali Hii Diamond Hakufanya Kosa Kuwa Na Mtoto Nje

Jamani mambo mengine ni aibu mwanaume kuyasema au kuyashabikia. We unauhakika gani uliyenaye ni baba yako? Au watoto wako ni wako? Kama huna ndio kabisa usiseme mana hujui utakaokuwa nao watakuwa watoto wako. Haya mambo achieni wanawake ni AIBU KWA MWANAUME KUYASHABIKIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aombwe talaka vp kwan kaoa???
 
[emoji41] [emoji41] [emoji41] sijaelewa kwamba Zari anaomba atifuliwe kifusi au?[emoji41] [emoji41]
Mkuu show ya ugiriki anaikumbuka anaiomba tena kifusi kikatifuliwe [emoji23] [emoji23]

From Korodani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…