Acheni dhambi hao watoto wamefanana.ila huyo huyo wa kiume ana appearance ya kiume. Kwa nini watu wengine wanaumia kwa relationship ambayo sio yao? Tangu ana mimba zari alikuwa anasemwa sio ya diamond.maisha yanaendelea bado wako pamoja.
Kama Mapacha
Diamond alichemsha. Iko siku atasema ukweli kwamba alichemsha. Katika hali ya kawaida kwa taratibu zetu za kiafrika sii vema wala hatutarajii kijana ambaye hajaoa kuoa mke aliyeachika tena mwenye watoto kama alivyofanya. Walioachika wanaoana wao kwa wao na wenye watoto inapendeza wakioana wao kwa wao. Aliingia chaka bovu. Litamtesa. Tusishangae siku moja akiombwa talaka itakayoambatana na kumlipa mamilioni huyo mama Tiffah. Mwanamke ni mjanja kuliko mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohoooooo!!!
-Ndumilakuwili-
Ndo hata mimi nashangaa sana mkuu wangu. Hawa wanaume kama mashoga vile...Wanaume wa Dar mko busy kufatilia maisha ya watu.. Ndio maana vidume wa mikoani tunawaibia sana dada zenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani mwanaume unakaa kabisa kuchunguza sijui mdomo unafanana na wa nani.. Very shame aisee, alafu utakuwa wanawapigia mademu zao simu alafu story wanazopiga ndio hizo..Ndo hata mimi nashangaa sana mkuu wangu. Hawa wanaume kama mashoga vile...
Mawazo machafu![emoji41] [emoji41] [emoji41] sijaelewa kwamba Zari anaomba atifuliwe kifusi au?[emoji41] [emoji41]
hata mi nashangaa watu mada haiwahusu anjifanya kuchangia, si waende huko jukwaa la wanaumeYaani mwanaume unakaa kabisa kuchunguza sijui mdomo unafanana na wa nani.. Very shame aisee, alafu utakuwa wanawapigia mademu zao simu alafu story wanazopiga ndio hizo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kwa haraka haraka naona kama hao watoto wanafanana pua na macho? au nivue mawani yangu ya balimi!?
Hatuaminiki aiseePoint kubwa hapa ni kwamba mwanamke usimuamin % zote....utapotea,