Duuh Kwa Hali Hii Diamond Hakufanya Kosa Kuwa Na Mtoto Nje

Duuh Kwa Hali Hii Diamond Hakufanya Kosa Kuwa Na Mtoto Nje

Mimi nilijua wanawake tu ndo hua wanajadili mambo ya kimbea namna hii kumbe hata wanaume oooh dunia simama nishuke maana sielewi wanaume walio wengi wamepatwa na kitu gani!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wanasema dogo kafanana na Ivan coz aliyeanzisha hayo kalazimisha watu kuamini hivyo so wengine wanaangalia kidogo picha inakuja ya Ivan wanasema wamefanana. Anayejua nani baba wa mtoto ni mama wengine tutulie tu...
 
Acheni dhambi hao watoto wamefanana.ila huyo huyo wa kiume ana appearance ya kiume. Kwa nini watu wengine wanaumia kwa relationship ambayo sio yao? Tangu ana mimba zari alikuwa anasemwa sio ya diamond.maisha yanaendelea bado wako pamoja.

Sio hivo tu unakumbuka walisema hana kizazi Mondi sasa hivi wanampakazia watoto kila kona binadamu ni ngumu kuwaelewa
 
Diamond alichemsha. Iko siku atasema ukweli kwamba alichemsha. Katika hali ya kawaida kwa taratibu zetu za kiafrika sii vema wala hatutarajii kijana ambaye hajaoa kuoa mke aliyeachika tena mwenye watoto kama alivyofanya. Walioachika wanaoana wao kwa wao na wenye watoto inapendeza wakioana wao kwa wao. Aliingia chaka bovu. Litamtesa. Tusishangae siku moja akiombwa talaka itakayoambatana na kumlipa mamilioni huyo mama Tiffah. Mwanamke ni mjanja kuliko mwanaume.

Sent using Jamii Forums mobile app

100% right
 
Ohoooooo!!!
e59d08b9f18715f25b4c6c775afed056.jpg


-Ndumilakuwili-

Huyu na marehemu ni copy right [emoji134]‍♂️
 
Mtoto wa kiume unahangaika na maisha ya watu wengine.. Demu wako wakimchukua wanaume wapambanaji utamlaumu nani wakati una tabia za kishoga. Badala ya kutafuta hela unahangaika na kuchunguza familia za watu wengine. Mi watu wa dizaini yako wananiboa kishenzi yaani inafanya watanzania wote tuonekanage mabogus ..
 
Mbona kwa haraka haraka naona kama hao watoto wanafanana pua na macho? au nivue mawani yangu ya balimi!?


Pua ,macho na mdomo wanafanana sana huyo wa kwanza tulisema wa katunzi huyu tunasema wa marehemu wabongo tuna visa
 
Kwann wengi wanamsemea daimond sana
Kwanza muelewe kuwa he is a star and a country mirror
Only that makes him be on people's mind
 
Back
Top Bottom