Makampuni mengi tuu yanafanya kazi kwenye virtual office, kuna majengo kibao kwa hapa Dar ambayo yanatoa huduma hizo mfano ni ESBC Kilwa House, niseme inawezekana ukawa hauna experience na international companies hasa za consulting zinavyofanya kazi
Naona umekurupuka kuleta tuhuma... je wapo registered hapa Tanzania?wana comply na sheria zetu?
Naamini kuna mgongano wa kimaslahi kati yako na huyo bwana au huyo muhindi wa Azam...labda utuambie kwanza chanzo cha wewe kufatilia yote haya ni nini?
Kingine kwanini ulimkwepa kwenda kukutana naye huko Azam?