nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
- Thread starter
-
- #21
Of course anatumiwa au anashirikiana na Broadcast Manager wa Azam Media, ambaye ndie kamleta nchini. Hata hivyo nae sio Mtanzania, ameona loophole kamleta mfaransa wapige pesa.Kwa haya Maelezo huyo mtu mnamwonea tu mzizi uko Azam Media huko.
Ni kweli tunahitaji mada zilizoshiba ili kuisaidia nchi yetuHizi mada nzito nilizipenda sana enzi zile
Huenda, ila usiusemee moyo.Nakuhakikishia Mzee Bakhresa hajui huu mchezo. Ni Meneja wake anayefanya haya mambo.
Kwa kweli hata mimi nilifuata habari kama hizi za uhakika na ushahidi. Keep it up.Karibu tuendelee. Tupige kazi tuokoe nchi yetu.
Aisee. Halafu watu wa kijijini kwenu wanakusifu mtoto wa fulani ana akili sana. Kumbe loh, jizi la kalamu lilikubuhu.Mkuu hii nchi ukipata fursa don't hesitate kupiga pesa maana ndiyo tulipo sasa
Kweli kabisa MkuuMjini mipango mkuu ukishangaa unalizwa. Na kulizwa kwenyewe ndiyo kama hivi
Hii ni vita ya kibiashara, swali je hizo kazi huko ZBC zimenyafika kwa mujibu wa mkataba au hazijafanyika,?
Ila ujuwe Hussein naye ana washkaji zake lazima wale shavu katika ufalme wake.
Sawasawa. Nitajitahidi kufanya hivyo. Asante sana kwa tipTuchunguzie pia mkataba kati ya zbc na azam media kuruhusu azam kutumia jina la zbc2 kama channel yake studio zikiwa hapo uhai production tabata, zikiweka maudhui ya kidini tena upande mmoja same time channel ikitumiwa na azam tv kama mali yao na kupewa idhini ya kurusha soka kama channel ya umma.
Uko sahihi kabisa, hawa wageni watakuwa wanagushangaa na kutudharau pia na kutuona mazoba.Tutalaumu watu wa Nje na kuwaita majina yote mabaya lakini tatizo kubwa na la msingi liko kwa sisi watanzania...
Nafikiri hujui ulichoandika? Virtual office kwneye masuala ya supply na vifaa vinavyohitaji uwe na workshop uweze fanya production?Makampuni mengi tuu yanafanya kazi kwenye virtual office, kuna majengo kibao kwa hapa Dar ambayo yanatoa huduma hizo mfano ni ESBC Kilwa House, niseme inawezekana ukawa hauna experience na international companies hasa za consulting zinavyofanya kazi...
Wewe huoni wananchi wanavyoshangilia ukiimba then ukatoa msaada kwao?Aisee. Halafu watu wa kijijini kwenu wanakusifu mtoto wa fulani ana akili sana. Kumbe loh, jizi la kalamu lilikubuhu.
Uzalendo ndio chanzo mkuu. Be positive and learn.Makampuni mengi tuu yanafanya kazi kwenye virtual office, kuna majengo kibao kwa hapa Dar ambayo yanatoa huduma hizo mfano ni ESBC Kilwa House, niseme inawezekana ukawa hauna experience na international companies hasa za consulting zinavyofanya kazi
Naona umekurupuka kuleta tuhuma... je wapo registered hapa Tanzania?wana comply na sheria zetu?
Naamini kuna mgongano wa kimaslahi kati yako na huyo bwana au huyo muhindi wa Azam...labda utuambie kwanza chanzo cha wewe kufatilia yote haya ni nini?
Kingine kwanini ulimkwepa kwenda kukutana naye huko Azam?
Hujaonyesha ushahidi wa lolote wa unalosema zaidi ya hizo text za wewe kumpima, ungeweza kwenda extra mile...hapo wewe ndio unaonekana tapeli, kakuambia yupo Tanzania na kakuelekeza pa kumfuata na kakusubiri, kilichokufanya ushindwe kwenda nini?Uzalendo ndio chanzo mkuu. Be positive and learn.