Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naungana na Wewe moja kwa moja ! Mpaka Maaskofu wanaojiita wa kiroho , nao pia wamegeuka hawamuhofu MUNGU tena na sasa wanamuhofu mwanadamu !!! Hatari Sana hiyo !CCM sikilizeni habari vizuri ,mnaweza kudanganyana nyinyi kwa nyinyi,wenyewe kwa wenyewe ,na mkaaminiana ,leo sio aibu wala ajabu kiongozi anaetokana na CCM kuapa kwa jina la Mwenyezi Mungu ilihali anazungumza na kusema uongo.
Kamsikilize tena Jusa.
CCM imewafanya mpaka mapadri na mashehe hawamuogopi Mwenyezi Mungu,wamekuwa wanafiki mchana kweupe.
Wacha waunde serikali ya kitaifa angalau waweze kuwatibu na kufidia majerui na waliokufa na kuachiwa huru walio kamatwa .vinginevyo ni sawa na kuachia nyani shambani.nikiona maneno ya hivi tena kutoka kwa wanasiasa wa upinzani nachoka kabisaa, sijui kama aliziona maiti za wale vijana wa Zanzibar waliouwa kikatili kabisa tare 27, 28 na 29 Oktoba
Nyakati za mwisho kabisa hizi! Ni nyakati za hatari .Naungana na Wewe moja kwa moja ! Mpaka Maaskofu wanaojiita wa kiroho , nao pia wamegeuka hawamuhofu MUNGU tena na sasa wanamuhofu mwanadamu !!! Hatari Sana hiyo !
Sawa kabisa. Tena wapambanie katiba mpya tena ile iliopitishwa na CCM maana iko kwenye kabati rahisi tu itolewe ipigiwe kura. Ina tume huru na inapunguza madaraka ya Rais pia.Mimi naona wajiunge TU kuunda SERIKALI ya umoja wa kitaifa.Maana hata wakisusa,wenzako CCM wanaendelea Kama ilivyokuwa kwenye hii awamu ya pili ya Dr.Shein(2015-2020).Ni Bora wakaenda hivo hivo Hadi Milele ijayo itakapokuja kupatikana time huru ya Uchaguzi kwenye vizazi vijavyo,PANAPO MAJALIWA.Tukisusa haisaidii.
Hivi kweli Jussa amesema na kushauri haya? Kama kweli kasema basi leo ndio mie nahakikisha kweli wanasiasa woooooote wa Tanzania wanaweka mahitaji yao mbele na wanawatumia wananchi kufikia malengo yao tu!..
Serikali ya umoja wa Kitaifa na walioiba uchaguzi?
Kama wapinzani huko Zanzibar wana akili za kuku namna hii basi CCM iendelee kuwatandika tu maana hawana akili!
Hayo yote unayoyasema CCM hawataki hata ya kuyasikia.Wacha waunde serikali ya kitaifa angalau waweze kuwatibu na kufidia majerui na waliokufa na kuachiwa huru walio kamatwa .vinginevyo ni sawa na kuachia nyani shambani .sana sana ukipambania kesi na ccm hii ni mpaka üchaguzi ujao kesi hiko mahakamani ,bora wajiunge wapambanie katiba mpya tena ileile ya ccm iletwe ipigiwe kura angalau ina tume huru na inapunguza madaraka ya raisi ,
Ni kwasababu hawana imani na mahakama.Kwanini hamuendi mahakamani kutafuta haki Kama mmeibiwa...mkiambiwa pelekeni ushahidi hata wa karatasi moja hamna...Sasa mnacholilia nini
Nilijua Jussa yule aliefuta matokeo ya mwaka ule.Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha ACT Wazalendo Ismail Jussa Ladhu anaeuguza majeraha baada ya kupigwa walipokuwa wanafanya maandamano Visiwani Zanzibar katika Maandamano hayo ya tarehe 29 mwezi wa Oktoba yalikuwa ya amani ila maafisa wa usalama waliwavamia na kuwajeruhi baadhi ya viongozi wa upinzani...
Aliekwambia ni nani, hayo ni maoni ya tu ya Jussa, chama ni wanachama, Maalim Sharrif, NARUDIA Sharrif hawezi kukubali, labda Kama wamsiki tu, angekuepo Mwalim angetoa data base ya Mh. Seif#Ni yeye Jussa Ladhu
#Ni yeye Zito Kabwe.
ACT Zanzibar wanajambolao la serikali ya umoja wakitaifa.
Ni hatari sana.Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha ACT Wazalendo Ismail Jussa Ladhu anaeuguza majeraha baada ya kupigwa walipokuwa wanafanya maandamano Visiwani Zanzibar katika Maandamano hayo ya tarehe 29 mwezi wa Oktoba yalikuwa ya amani ila maafisa wa usalama waliwavamia na kuwajeruhi baadhi ya viongozi wa upinzani...
Ni Jechanilijua jussa yule aliefuta matokeo ya mwaka ule
Bora wapendekeze Nassor Ahmed Mazrui ndiye awe Makamu wa kwanza.Duh,jusa ndio awe makamu wa kwanza
Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha ACT Wazalendo Ismail Jussa Ladhu anaeuguza majeraha baada ya kupigwa walipokuwa wanafanya maandamano Visiwani Zanzibar katika Maandamano hayo ya tarehe 29 mwezi wa Oktoba yalikuwa ya amani ila maafisa wa usalama waliwavamia na kuwajeruhi baadhi ya viongozi wa upinzani..
Alshaojiwa bwashee,na akasema wazi yeye hana maamuzi mpaka uongozi wa chama ukubaliane.Alie kwambia ni nani, hayo ni maoni ya tu ya jussa ,chama ni wanachama,mahalm shalif,NARUDIA shalif hawezi kukubali, labda Kama wamsiki tu ,angekuepo mwalim ,angetoa data base ya mh seif
mbona mnashindwa kutuwekea hayo mahojiano?Alshaojiwa bwashee,na akasema wazi yeye hana maamuzi mpaka uongozi wa chama ukubaliane.