Ok kumbe mnajua haiwezekani..Sasa kwa Nini mnapiga mayowe huku..kwani huku ndio Kuna solution ya Mambo yenu..sisi tumesharudi kwenye shughuli zetu..tunataka kwenda uchumi wa juu..siasa zimefungwa mpaka 2025. KwaheriWaende mahakamani? You guy, you must be crazy 😦😦
Hakuna nchi iliyowahi kwenda uchumi wa juu kwa kutembeza bakuli.Ok kumbe mnajua haiwezekani..Sasa kwa Nini mnapiga mayowe huku..kwani huku ndio Kuna solution ya Mambo yenu..sisi tumesharudi kwenye shughuli zetu..tunataka kwenda uchumi wa juu..siasa zimefungwa mpaka 2025. Kwaheri
Kama wapinzani wameibiwa kura ina maana wabunge na madiwani pia wameibiwaMahakama hizi za CCM ambazo Jaji mstaafu anagombea urais kupitia CCM?
Urais wa Zanzibar na Muungano unaweza kuhojiwa kwenye mahakama gani?
Kama wapinzani wameibiwa kura ina maana wabunge na madiwani pia wameibiwa
Tena madiwani ndio rahisi kugundua kama wameibiwa kura wapeni hivyo vielelezo vyenu waende mahakamani
Ila cha kushangaza kila mnapo ongelea wizi wa kula mnamuongelea Lisu vipi wabunge na madiwani wenu wao hawakuibiwa kura?
We sijui mshamba wa wapi jomba...Marekani hapo ilipo inadaiwa kiasi gani na China na Japan...Kama kuona huoni ni kipofu hata kusikia husikii..Hilo sio bakuli au unadhani ni sinia au kikombe..kweli umerogwa weweHakuna nchi iliyowahi kwenda uchumi wa juu kwa kutembeza bakuli.
Hizo ni porojo tu za wavuta bangi, mzungu ndio mwenye pesa hao wengine ni waigizaji tu.We sijui mshamba wa wapi jomba...Marekani hapo ilipo inadaiwa kiasi gani na China na Japan...Kama kuona huoni ni kipofu hata kusikia husikii..Hilo sio bakuli au unadhani ni sinia au kikombe..kweli umerogwa wewe
Daaa naona ubishi Ni jadi yako..nilidhani tunaelimishana..Jambo usilolijua so Bora ukaomba ueleweshwe jombaHizo ni porojo tu za wavuta bangi, mzungu ndio mwenye pesa hao wengine ni waigizaji tu.
Wewe unafahamu nchi ya pili kudaiwa ni ipi. Hao wote unaowasemea pesa zao wenyewe hata kutunza hawawezi, wote wanatunzia Marekani.
Labda hakuona faida ya maana zaidi ya CUF kufa na kuzikwa. Strategy ya ‘kususa’ imeshafail. Na itafail tenaHa hataki kususa kama ilivyokuwa 2015?
"Wavifute vyama vyote wabaki peke yao maana tumerudi nyuma kuliko enzi za chama kimoja.."Mjumbe wa kamati kuu ya chama cha ACT Wazalendo Ismail Jussa Ladhu anaeuguza majeraha baada ya kupigwa walipokuwa wanafanya maandamano Visiwani Zanzibar katika Maandamano hayo ya tarehe 29 mwezi wa Oktoba yalikuwa ya amani ila maafisa wa usalama waliwavamia na kuwajeruhi baadhi ya viongozi wa upinzani.
Mwandishi wa DW, Thelma Mwadzaya amezungumza Kinagaubaga na Jussa kuhusu siasa za visiwani Zanzibar na Jussa anapendekeza kuundwe serikali ya umoja wa kitaifa visiwani Zanzibar.
My Take
Kuunda serikali na CCM hii hii au?
Update:
Mahojiano ya Jussa na DW (Sauti)
View attachment 1624824
Kweli mwandishi amemlisha maneno jussakama ni yale mahojiano ya jana basi muanzilishi wa thread amemlisha maneno Ismail Jussa