Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Natamani hizi habari zimfikie na Trump 🤣🤣.Safi sana.
Alifikiri wazungu wanaangalia WANJA ALIOPAKA au IDADI YA KUNGU MANGA ALIZOKULA???
Alivyomuoga atakuwa anaota anafukuzwa na wazungu🤣Natamani hizi habari zimfikie na Trump 🤣🤣.
Maana jamaa halina simile.
Jamaa huwa anakuja at the right time...sasa hivi anaangalia tu.Natamani hizi habari zimfikie na Trump 🤣🤣.
Maana jamaa halina simile.
Zitamfikia tu. Dunia ni kijiji mkuu. Wanafikiria kuuwa hoja kwa luwasingizia watu mambo ya uongo itasaidia kuwanasua?Natamani hizi habari zimfikie na Trump 🤣🤣.
Maana jamaa halina simile.
OLE WAKE MWANANCHI ATAKAYE PANGA MSTARI KUP[IGA KURASafi sana.
Alifikiri wazungu wanaangalia WANJA ALIOPAKA au IDADI YA KUNGU MANGA ALIZOKULA???
Imagine yupo pale Oval Office kakaa na Trump halafu kwa pembeni yupo JD Vance na Marco Rubio halafu mmoja wa wale waandishi wa habari wanamtwanga swali kuhusu kuminywa kwa demokrasia…..Alivyomuaga atakuwa anaota anafukuzwa na wazungu🤣
Kati ya karata ambazo sa100 alicheza vzr ni kuwachekesha waarabu.Jamaa huwa anakuja at the right time...sasa hivi anaangalia tu.
Mnaota nyieImagine yupo pale Oval Office kakaa na Trump halafu kwa pembeni yupo JD Vance na Marco Rubio halafu mmoja wa wale waandishi wa habari wanamtwanga swali kuhusu kuminywa kwa demokrasia…..
Ghafla Trump anawaambia wasadizi wake wazime taa na wawashe TV 🤣.
Bi. Ushungi kwapa zote zitabubujikwa na kijasho baridi 🤣.
Waarabu Wana maajabu Gani? Mbona Israel inawakojolea hapo kwao na hawana wanalomfanya pamoja kuwa ardhi kubwa na watu wengi lakini wote vichwa chiniMnaota nyie
Amkeni msije mkajikojolea kitandani na utu uzima huu.
Trump na uarabuni kwa sasa ni marafiki dam dam, na uarabuni wamepewa kila kitu walichotaka kutoka TZ, hv unadhan kiburi cha kuwakazia bunge la ulaya kinatoka wapi?
watu mnashindwa kung'amua issue ndogo kama hii na mnajiita great thinkers?
We all now hana uwezo huo, is why hatodhubutu kwenda kwenye hiyo panelImagine yupo pale Oval Office kakaa na Trump halafu kwa pembeni yupo JD Vance na Marco Rubio halafu mmoja wa wale waandishi wa habari wanamtwanga swali kuhusu kuminywa kwa demokrasia…..
Ghafla Trump anawaambia wasadizi wake wazime taa na wawashe TV 🤣.
Bi. Ushungi kwapa zote zitabubujikwa na kijasho baridi 🤣.
Yo so because trump yupo karibu na waarabu ndio ata show mercy for tz? Nigga plsMnaota nyie
Amkeni msije mkajikojolea kitandani na utu uzima huu.
Trump na uarabuni kwa sasa ni marafiki dam dam, na uarabuni wamepewa kila kitu walichotaka kutoka TZ, hv unadhan kiburi cha kuwakazia bunge la ulaya kinatoka wapi?
watu mnashindwa kung'amua issue ndogo kama hii na mnajiita great thinkers?
Kwanza huo mwaliko lamwe jawrzi kuupata, alimbahatisha Kamala ndio imetoka hivyoImagine yupo pale Oval Office kakaa na Trump halafu kwa pembeni yupo JD Vance na Marco Rubio halafu mmoja wa wale waandishi wa habari wanamtwanga swali kuhusu kuminywa kwa demokrasia…..
Ghafla Trump anawaambia wasadizi wake wazime taa na wawashe TV 🤣.
Bi. Ushungi kwapa zote zitabubujikwa na kijasho baridi 🤣.
Siku akiruka nayo Larry Madowo baaaaaasi imefika oval office.Hii ni safi sana.
Wambane kila kona aishie kwenda Burundi, Msumbiji, Uganda, na jamhuri zingine za midizi kama ilivyo nchi anayoitawala.
Hakuna pa kujificha wala pa kukimbilia.
View: https://youtu.be/VgcKuwarg1I?si=DtEUKkMHS6Yd0fvW