Barakoa 001
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 5,436
- 14,927
Inabidi watanzania woote wamtag kwenye akaunti zao lazima ataona.Natamani hizi habari zimfikie na Trump 🤣🤣.
Maana jamaa halina simile.
Inabidi watanzania woote wamtag kwenye akaunti zao lazima ataona.Natamani hizi habari zimfikie na Trump 🤣🤣.
Maana jamaa halina simile.
Huyu keshajaaaNatamani hizi habari zimfikie na Trump 🤣🤣.
Maana jamaa halina simile.
Marekani hana rafiki wakudumu wala adui wakudumu, elewa neno "Hana "Mnaota nyie
Amkeni msije mkajikojolea kitandani na utu uzima huu.
Trump na uarabuni kwa sasa ni marafiki dam dam, na uarabuni wamepewa kila kitu walichotaka kutoka TZ, hv unadhan kiburi cha kuwakazia bunge la ulaya kinatoka wapi?
watu mnashindwa kung'amua issue ndogo kama hii na mnajiita great thinkers?
Acha kujitekenya,balaa linakuja mwambie akae mguu sawaKati ya karata ambazo sa100 alicheza vzr ni kuwachekesha waarabu.
USA haiwezi na haitoongelea chochote sababu ni rafiki wa nguvu wa mjomba mtu. Mnadhan ziara ya Trump uarabuni ilikua ni nini?
Imagine yupo pale Oval Office kakaa na Trump halafu kwa pembeni yupo JD Vance na Marco Rubio halafu mmoja wa wale waandishi wa habari wanamtwanga swali kuhusu kuminywa kwa demokrasia…..
Ghafla Trump anawaambia wasadizi wake wazime taa na wawashe TV 🤣.
Bi. Ushungi kwapa zote zitabubujikwa na kijasho baridi 🤣.
Dah! Rama hayo macho niaje 🤣🤣
Hii ni safi sana.
Wambane kila kona aishie kwenda Burundi, Msumbiji, Uganda, na jamhuri zingine za midizi kama ilivyo nchi anayoitawala.
Hakuna pa kujificha wala pa kukimbilia.
View: https://youtu.be/VgcKuwarg1I?si=DtEUKkMHS6Yd0fvW

Humjui US na hasa Trump, akiamua kukubadilikia anakubadilikia, anafanya hivyo.Kati ya karata ambazo sa100 alicheza vzr ni kuwachekesha waarabu.
USA haiwezi na haitoongelea chochote sababu ni rafiki wa nguvu wa mjomba mtu. Mnadhan ziara ya Trump uarabuni ilikua ni nini?
Alikuwa amewekewa video akauliza "have they told you where that is this ?" Halafu Trump akamwambia "it's in South Africa" ikabidi tu atoe macho😃Dah! Rama hayo macho niaje 🤣🤣
Maono Sahihi ya Mama tuna daraja la JPM, tuna Bwawa kubwa la umeme, tuna SGR, tuna Uwanja wa Ndege Msalato Ndege za ATCL, tuna DiPiWeldi.Huyu mama anayoyapitia ni sahihi kabisa,alipoingia madarakani alitaka kujifanya yeye ni mama wa demokrasia na mwema kuliko JPM, Kila mahali yeye ilikuwa kumsimanga marehemu JPM .
Naamini magumu yanakuja na hatasahau maishani mwake
Matangazo ndio yatabadili nini? Acheni kuwa wajinga kama sio wapumbavu kabisa.Nyie kunguni mna maoni gani hapa kuhusu mama yenu?
Lucas Mwashambwa
ChoiceVariable
The Sunk Cost Fallacy
The Sunk Cost Fallacy 2
Kama lugha itakuwa inawasumbua mniambie niwafanyie tafsiri ya walichosema.
Mama anafungua nchi, sasa apange safari za ulaya na marekani.Matangazo ndio yatabadili nini? Acheni kuwa wajinga kama sio wapumbavu kabisa.
Yaani kelele ndio zimtishe nani labda?
Atapanga na ataenda,ngoja uchaguzi uishe..Mama anafungua nchi, sasa apange safari za ulaya na marekani.
We uko huko tuambie tufanyaje habari zimfikie Trump, yaani huyu bibi ni kiazi halafu anatupelekesha via machawa.Natamani hizi habari zimfikie na Trump 🤣🤣.