DW News nao wamkalia kooni mtawala wa Tanzania!

DW News nao wamkalia kooni mtawala wa Tanzania!

Ni serikali gani inayowabaka na kuua raia wake na wa jirani zake?
 
Hii ni safi sana.

Wambane kila kona aishie kwenda Burundi, Msumbiji, Uganda, na jamhuri zingine za midizi kama ilivyo nchi anayoitawala.

Hakuna pa kujificha wala pa kukimbilia.

View: https://youtu.be/VgcKuwarg1I?si=DtEUKkMHS6Yd0fvWw

Hii ni safi sana.

Wambane kila kona aishie kwenda Burundi, Msumbiji, Uganda, na jamhuri zingine za midizi kama ilivyo nchi anayoitawala.

Hakuna pa kujificha wala pa kukimbilia.

View: https://youtu.be/VgcKuwarg1I?si=DtEUKkMHS6Yd0fvW

Watachoka wenyewe hao.
 
Ila na nyie wanaume wa CCM wote mko kama juma lokole, kajiteua kugombea urais wote mnavaa khanga ba kofia mnakata viuno kumshangilia vidole juu huku ndugu zenu akiwaua
Ukome mimi sio mwanaume halafu siwezi kuwa kwenye chama cha mbogamboga..!!
 
Hii ni safi sana.

Wambane kila kona aishie kwenda Burundi, Msumbiji, Uganda, na jamhuri zingine za midizi kama ilivyo nchi anayoitawala.

Hakuna pa kujificha wala pa kukimbilia.

View: https://youtu.be/VgcKuwarg1I?si=DtEUKkMHS6Yd0fvW

Wasaidizi wa Rais hawamtendei haki Mama yetu.Wao ndiyo wanafanya hayo maovu,halafu wanamfanya aseme hadharani kuwa ni yeye aliyeagiza kufanyika mabaya hayo.
Ilikuwa ni afadhali aseme atachunguza.Lakini kusema vyombo vya ulinzi na usalama viwashughulikie wageni amejiharibia mno.Hata Aljazera niliona wamemnukuu.
 
Back
Top Bottom