DW News nao wamkalia kooni mtawala wa Tanzania!

DW News nao wamkalia kooni mtawala wa Tanzania!

Imagine yupo pale Oval Office kakaa na Trump halafu kwa pembeni yupo JD Vance na Marco Rubio halafu mmoja wa wale waandishi wa habari wanamtwanga swali kuhusu kuminywa kwa demokrasia…..

Ghafla Trump anawaambia wasadizi wake wazime taa na wawashe TV 🤣.

Bi. Ushungi kwapa zote zitabubujikwa na kijasho baridi 🤣.

Hopefully atakuwa kapaka deodorant.
Hawezi kwenda kwa Trump hata mumfunge na mumburuze kwa chain, hasogei oval office
 
Kati ya karata ambazo sa100 alicheza vzr ni kuwachekesha waarabu.

USA haiwezi na haitoongelea chochote sababu ni rafiki wa nguvu wa mjomba mtu. Mnadhan ziara ya Trump uarabuni ilikua ni nini?
Tumia akili kidogo, Trump anawaogopa waarabu? Wana karata gani kwake?
 
Wajomba kila wakiwaza kuanna form yenyewe walitoa moja vichwa vinawaka moto
 
Mnaota nyie

Amkeni msije mkajikojolea kitandani na utu uzima huu.

Trump na uarabuni kwa sasa ni marafiki dam dam, na uarabuni wamepewa kila kitu walichotaka kutoka TZ, hv unadhan kiburi cha kuwakazia bunge la ulaya kinatoka wapi?

watu mnashindwa kung'amua issue ndogo kama hii na mnajiita great thinkers?
Kukosa kujitambua unamaanisha waarabu wanaoweza kumdictate Trump? Mbona hawajmwambia awalazimishe Israel waache kuwabamiza? Na Kila siku anawapa silaha na pesa, hivi mnapataje courage ya kusupport unyama unaofanywa na serikali ya CCM na Samia?
 
Jinga kweli wewe.

Kama ni ishu ya udikteta Africa wamejaa Kuna kipi kimetokea 😁😁

Mna akili finyi sana nyie nyumbu.
Ila chura kiziwi ni dikteta wa kwanza mwanamke Afrika, mnajisikiaje kunguni wa CCM kutengeneza dikteta wa kwanza mwanamke Afrika?
 
Uzuri wa wanaume wa kibongo wanapigana na Samia kwa keyboard, wanaacha kuingia front wapambane ndo kwanza wanapiga soga km mademu zao..!! 😹

Basi sawa tusambaze habari dunia nzima tuone km itafanya udhalimu kuisha..!!
Ila na nyie wanaume wa CCM wote mko kama juma lokole, kajiteua kugombea urais wote mnavaa khanga ba kofia mnakata viuno kumshangilia vidole juu huku ndugu zenu akiwaua
 
Trump is double standard.

Kwa kauli ambazo amekuwa anatoa hana moral authority.

Kwanza analishwa taarifa za uongo mfano mzuri ni issue ya South Africa.

Malema ni whistleblower na Trump anajua demokrasia inaruhusu uhuru wa kujieleza lakini anataka Malema akamatwe kwa kauli za kisiasa kama wengi wanavyolipinga la kukamatwa kwa Lissu.

Sielwi sielewi...au demokrasia inageuka hatia pale ambapo wazungu hawafaidiki nayo?
Kwa hiyo Samia ni advocate wa uhuru na demokrasia au?
 
Back
Top Bottom