DW News nao wamkalia kooni mtawala wa Tanzania!

Uzuri wa wanaume wa kibongo wanapigana na Samia kwa keyboard, wanaacha kuingia front wapambane ndo kwanza wanapiga soga km mademu zao..!! 😹

Basi sawa tusambaze habari dunia nzima tuone km itafanya udhalimu kuisha..!!
 
Kama hizo Keyboard zipo in front of the screen je,napo wanakuwa hawapo front?
 
Imagine yupo pale Oval Office kakaa na Trump halafu kwa pembeni yupo JD Vance na Marco Rubio halafu mmoja wa wale waandishi wa habari wanamtwanga swali kuhusu kuminywa kwa demokrasia…..

Ghafla Trump anawaambia wasadizi wake wazime taa na wawashe TV 🤣.

Bi. Ushungi kwapa zote zitabubujikwa na kijasho baridi 🤣.

Hopefully atakuwa kapaka deodorant.
Dah! Nimeona Ramaphosa alichofanyiwa, Ramaphosa alikuwa anajikanyaga na kutetemeka kwa wakati mmoja japo alikuwa anajikaza lakini wajanja tuliona he was shaking inwardly but trying to appear calm..

Trump alivyo mwanaharamu akaona yanini kuongea wakati ushahidi upo, haya zimeni taa washa screen, ile screen imemaliza kuonyesha kwa ushahidi wa video Ramaphosa akaanza siasa kama kawaida ya marais wa Africa eti "hii sijawahi kuona" ...

papo kwa hapo kakabidhiwa kibunda cha documents zenye maelezo ya wakulima wote weupe waliouawawa... Ramaphosa akaishiwa pozi..

Marais wa Africa wamezoea usanii na uongo uongo, siasa nyingi... i wish siku moja huyu wa kwetu aonane na Trump pale pale alipoitwa Zele na Ramaphosa...
 
Uzuri wa wanaume wa kibongo wanapigana na Samia kwa keyboard, wanaacha kuingia front wapambane ndo kwanza wanapiga soga km mademu zao..!! 😹

Basi sawa tusambaze habari dunia nzima tuone km itafanya udhalimu kuisha..!!
miss you baby .. 😘😗
 
Imagine yupo pale Oval Office kakaa na Trump halafu kwa pembeni yupo JD Vance na Marco Rubio halafu mmoja wa wale waandishi wa habari wanamtwanga swali kuhusu kuminywa kwa demokrasia…..

Ghafla Trump anawaambia wasadizi wake wazime taa na wawashe TV 🤣.

Bi. Ushungi kwapa zote zitabubujikwa na kijasho baridi 🤣.

Hopefully atakuwa kapaka deodorant.
Kwapa!?!? Mh ...hapo mbona karibu.
 
Humjui kiongozi wetu!!! Akifanyiwa upumbavu huo, ananyanyuka na kuondoka bila kuaga....na wakijaribu kumzuia asitoke tayari wanakuwa wametangaza vita na sisi...! Na sisi tuna washirika wetu tunaanza kumshughulikia Muhusika!
 
Uzuri wa wanaume wa kibongo wanapigana na Samia kwa keyboard, wanaacha kuingia front wapambane ndo kwanza wanapiga soga km mademu zao..!! 😹

Basi sawa tusambaze habari dunia nzima tuone km itafanya udhalimu kuisha..!!
Una roho ya kishujaa sana bi dada.
Watu wanazani kutapika mitandaoni ndio tatizo limeisha.
 
Back
Top Bottom