DW News nao wamkalia kooni mtawala wa Tanzania!

DW News nao wamkalia kooni mtawala wa Tanzania!

Matangazo ndio yatabadili nini? Acheni kuwa wajinga kama sio wapumbavu kabisa.
Kwahiyo wewe kunguni unaona hayo ni matangazo?
Yaani kelele ndio zimtishe nani labda?
Yaani hadi sasa hujajua hizo unazoziita kelele ndio zimefanya dunia imtambue chura kiziwi kuwa dikteta wa kwanza mwanamke Africa na kupewa jina la Idd Amin Mama?
 
Kwahiyo wewe kunguni unaona hayo ni matangazo?

Yaani hadi sasa hujajua hizo unazozitaa kelele ndio zimefanya dunia imtambue chura kiziwi kuwa dikteta wa kwanza mwanamke Africa na kupewa jina la Idd Amin Mama?
Stori hizo hazitawasaidia ,ndio hivyo Sasa imemtambua Kwa hiyo?
 
Jinga kweli wewe.

Kama ni ishu ya udikteta Africa wamejaa Kuna kipi kimetokea 😁😁

Mna akili finyi sana nyie nyumbu.
Ukisema madikteta wamejaa unaamanisha umekubali tayari huyu mama yenu kaingia kwenye kundi la kina Museveni , tofauti ya Museveni na Samia ni jinsia ila Museveni hajaamuru raia wa Kenya na Tanzania kupigwa ,kubakwa na kutelekezwa mipakani.

Hivyo umeona Samia alivyo dikteta wa kipekee na ni mwanamke dikteta pekee Africa.
 
Ukisema madikteta wamejaa unaamanisha umekubali tayari huyu mama yenu kaingia kwenye kundi la kina Museveni , tofauti ya Museveni na Samia ni jinsia ila Museveni hajateka raia wa Kenya na Tanzania kuwapiga na kuwatelekeza mipakani hivyo umeona Samia alivyo dikteta wa kipekee na ni mwanamke dikteta pekee Africa.
Haya mumekubali so what?
 
Back
Top Bottom