ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,787
- 131,638
Atapanga na ataenda,ngoja uchaguzi uishe..
Katika watu wapumbavu ni nyie Chadomo mkidhani kwamba Ulaya watawasaidia.
Sio tuu hawana hiyo jeuri lakini.pia hawako tayari kupoteza soko lao kisa nyumbu wa Chadomo.
View: https://www.instagram.com/reel/DKAJOqyIVTe/?igsh=Z21lenN4NWhoaTYy
Sasa ulichoandika kina uhusiano gani na demokrasia. Una utandu kwenye ubongo we chawa mwandamizi.