KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Dwight Yorke amefichua kwamba wakati wa msimu wa 1999/2000, alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku: "Katika miaka yangu ya baadaye Man United, wanawake walikuwa wakinijia kila mara.
Nina watoto huko nje ambao sijakutana nao, na nina uhakika mmoja wao yuko kwenye Ligi ya Premia hivi sasa. Wanawake ni wavivu sana, wanakimbilia wanaume waliofanikiwa.
Kwa hivyo nilijinufaisha na hilo na kuwarukia sana, nimekuwa na mama na binti pamoja. Ni kituko lakini walifurahia. Sijivunii lakini ndivyo ilivyo." 🙆