Dwight York:- Msimu wa 1999/2000, alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku

Dwight York:- Msimu wa 1999/2000, alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku

Andy Cole, Dwight Cole, Schumacher nilikuwa spending mpira ila Man u ilikuwa balaa
 
View attachment 3269437
Dwight Yorke amefichua kwamba wakati wa msimu wa 1999/2000, alikuwa akilala na wanawake 3-5 kwa siku: "Katika miaka yangu ya baadaye Man United, wanawake walikuwa wakinijia kila mara.

Nina watoto huko nje ambao sijakutana nao, na nina uhakika mmoja wao yuko kwenye Ligi ya Premia hivi sasa. Wanawake ni wavivu sana, wanakimbilia wanaume waliofanikiwa.

Kwa hivyo nilijinufaisha na hilo na kuwarukia sana, nimekuwa na mama na binti pamoja. Ni kituko lakini walifurahia. Sijivunii lakini ndivyo ilivyo." 🙆
Noma sana!
 
Huyu jamaa alikuwa balaa sana kwa kupenda mademu, lakini uwanjani alikuwa anakiwasha balaa.
 
Back
Top Bottom