Dylan Kerr, kocha wa Marumo Gallants, aliwahi kuifundisha Simba FC akaondolewa kwa majungu ya waganga njaa. Leo hii ni mmoja wa makocha bora Afrika

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Mwaka 2015 mpaka 2016 alitokea Gor Mahia ya Kenya kuja kuifundisha Simba Fc.

Majungu yakaletwa na na wanazi wa Simba. Akafukuzwa lakini leo hii anamafanikio makubwa tu huko Limpopo.

 
Simba na Yanga zimepata bahati ya kuwa na makocha wazuri sana.

Hata Nabi sitashangaa akipata shavu la kunoa club kubwa za Africa
 
Mkuu waganga njaa ndiyo wap hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…