e-GA inahujumiwa

Hela inapigwaje? Maana mkataba ukitolewa si pesa inaingia NMB ambapo 40% ni hisa za serikali, bado 30% ni kodi ya Corporate sasa serikali inahujumiwaje au pesa zinapigwa vipi hapo?

Jenga hoja vizuri ueleweke
bado junior sana serikalini kijana na itanichukua miezi kukuelekeza.
 
kijana una uelewa mdogo sana wa mausala ya usalama wa nchi, majasusi wa kigeni hutafuta loope holes za kuingiza watu wao kwenye maeneo nyeti ya serikali , yaani nchi inafanya vetting kwenye taasisi kama e-GA ili isihujumiwe then kuna mtu mwenye akili za kutafuta pesa za kampeni ,anahongwa ili mifumo ambayo ina genesis ya uraia wa nchi itengenezwe NMB?
Kwamba NMB kesho wanaambiwa watengeneze mfumo wa NEC kumanage kura za nchi na wewe unakenua meno unachekelea tu?
mlikunywa maziwa ya punda utotoni nyie sio bure , mnaona jambo la kawaida ?
Waziri wa TEHAMA amesha kula pesa NMB amewapa tender ili apate pesa za kampeni za uchaguzi wake mwenyewe sasa nakuambia siku zenu zinahesabika huu ni ujinga na uzalendo wa kijuha
 
Siasa za kuiua e-GA zimeanza muda na ndio maana hata hio audit report uliyo quote ilikua part of the big plan ,ili wanasiasa waje waseme e-GA hawana uwezo .
Kama kweli e-GA angekua hana uwezo lingetafutwa kampuni ambalo kazi yake ni kutengeneza software ,yaani NMB ambaye kazi yake mama ni kutunza pesa na kuuza pesa unampa kazi kubwa ya kutengeneza mifumo ya nchi ?
hivi una akili timamu kweli?
wazee wenu wakisha hongwa 10% wanachukua 0.005% wanawapa mje kuwatetea hapa ,rubish
 
Nataka zitto junior na wenzako mniambie ,wazee wenu walipoamua kula 10% na kuamua kuipa NMB tender ya kutengeneza mifumo ya ESB na jamii bima , waliongea na e-GA lini kuhakiki juu ya existence ya mifumo?
sheria inasema kwa taasisi ya serikali sio binafsi , inayotaka kutengeneza mfumo yenyewe bila kuihusisha e-GA , lazima ifuate sheria iliyo hapo chini , ihakikisha hakuna mfumo serikalini unaofanya hio kazi ili kuepusha duplication, leo ESB ipo lakini waziri na watu wake wamekuala 10% wamewapa NMB tender
Pili NMB anatengeneza jamii number system kama nani?
Mfumo ambao uhamiaji watautegemea kuverify uraia wa mtanzania tunawapa NMB? bullshit


 
Waziri wa TEHAMA mhe Nape amekanyaga mamlaka ya waziri mwenzake wa ofisi ya rasi Utumishi
Sheria na kanuni hizi hapa, nyie wengi wenu mnajua kusoma na kuandika , angalieni hizi sheria mnieleze wapi Waziri Nape anapata mamlaka ya kuipa NMB utengenezaji wa mifumo ya serikali?
sheria na kanuni zinakataa
 

Attachments

Yaani NMB wanasema wenyewe kabisa ,wameruhusiwa na Nape kuunda ESB
kwanza Serikalini kuna ESB tayari ipo e-GA
BOT kwa mifumo ya fedha ana TIPS(Tanzania instant payment system) ipo na inafanya kazi ,banks na mobile monye wanapitia hapo
sasa unataka kutengeneza exchange system nyingine ya kazi gani?



 
Haya angalieni hapa Nape anawapa NMB watengeneze mfumo utakao kua unatoa namba kama za NIDA na passport number bila kusahau leseni namba.
Yaani mfumo wa ku generate passport namba za uhamiaji tunampa NMB?
maana yake wanaweza kutengeneza hata passport maana namba wana generate wao,
Ni waziri asiye fikiria vyema pekee ndiye mwenye kuweza kukanyaga sheria na kanuni za kuanzishwa e-GA na kuweka 10% mfukoni na kuuza taarifa za taifa zima kwa taasisi binafsi.
stupid , very stupid ,sijawahi ona.
Ndio maana mkuu wa majeshi alisema kuna wahamiaji wana nafasi za uteule ,kama mtu sio mkimbizi au spy wa taifa la kigeni utafanyaje maamuzi ya hovyo namna hii


 
Tuendelee kumshangilia mama kuwa anaupiga kwa weledi....

Naam mpaka anamaliza muda wake madarakani tutakuwa na damage kubwa ambayo itatulazimu kukaa chini tujipange upya kisha atatokea wa kuharibu tena.... Serikali hasa mifumo inafurahia hii hali kwa sababu ni wanufaika pia
 
Wabongo tupunguze ujuaji, kwamba NMB ihujumu serikali!! wakati serikali inamiliki 40% ya benki hiyo?
Ukitaka tusiwe wajuaji anza wewe kupunguza ujuaji...
Tangu lini serikali inamiliki hisa 40% za NMB?

punguza ujuaji
 
Nape nafikiri siku zake hapo Wizarani ziko mwishoni. Mwambieni kuwa hata TZ hakuna Benki hata moja yenye software programmers wazuri na uzoefu zaidi ya E-GA kwanza Benki zote hapa nchini zinatumia Core Banking System zilizotengenezwa nje ya nchi hivyo hawana uzoefu wowote kwa kutengeneza software kama vijana wa E-GA kuwapa NMB kazi hiyo ni sawa na kuwapa watu wa nje ya nchi kutengeneza software hizo. Hivi ni lini tutawawezesha vijana wetu waweze kuwa wabunifu katika nchi yetu kama tutakuwa na akili za kina Nape!!?
 
Damage wanamfanyia hawa akina Nape ,wanamgombanisha mama ,wanaingia mikataba ya honyo na NMB wanaiuza serikali kimya kimya ili mama Samia aonekane wa hovyo
 
Nape huenda ameshajua maisha yake ya uwaziri yako ukingoni ,ameamua kutafuna bila aibu
 
Mkuu unahangaika na chawa hawajui IT wala National Security at all hivyo unapoteza muda wako tu lakini najua system za Nida na Immigration haziwezi kuwa generated na system za Benki at all.
 
Damage wanamfanyia hawa akina Nape ,wanamgombanisha mama ,wanaingia mikataba ya honyo na NMB wanaiuza serikali kimya kimya ili mama Samia aonekane wa hovyo
Kwani kina Nape wamejiteua nafasi hizo?
Kwani kila afanyacho mteuliwa hakifiki mezani kwa sponsor?

Hapo tatizo ni kwa nini hatua hazichukuliwi?
Hizi huruma za kusema anahujumiwa ni yale yale ya kushindwa kutambua wajibu na dhima ya uongozi. Anayejihujumu huwa hajali matokeo ya hulka zake
 
mwanahisa tokea lini akapewa code,configuration mimi na zungumzia wafanyakazi wa nje wanaofanya kazi NMB, wenye access na mifumo na network ya NMB ambao wanafanya kazi kwa mikataba (Technical Part)......
Kampuni zote ambazo serikali ana maslahi nazo au hisa nyingi basi lazima technical part awe na watu hawa kutoka Financial Intelligence Unit/FCC hata pale Vodacom wapo kibao tu na wanawekwa kwa directive kutoka TCRA, BOT etc depending na sekta. Hata ExxonMobil tu ilikua inaweka wafanyakazi kutoka CIA na huo ni mtindo dunia nzima hata huko Gazprom au CCC ni same.
Hivi source kuu ya Cybersecurity attack unazijua ?
Unajua sikuelewi, umesema NMB tutauza siri za nchi ilihali e-Ga ndio hawajawahi kuzifanyia "vulnerability risk assesment ama Penetrational tests" mifumo yake who is more prone to cybersecurity attacks kati ya hao wawili?
Vitu vingine ukikaa kimya hupungukiwi kitu, ila duniani halipo taifa linalo wapa watu wasio waamini mifumo yao na network yao halipo taifa
Hauna exposure, mbona US inatumia Microsoft kupitia Azure system..... inatunza data zao kwa cloud technology ingawa ni kampuni binafsi iliyojaa wageni
CIA,FBI, MOSSAD nk washapigwa, pamoja wamewaajili watu wanao wajua na walio wafanyia vetting.
Kumbe hata kampuni ya serikali inakuq attacked? If that's the case why tena mnapinga isifanywe kazi na private sector if at all huko serikalini hizo ransomware attacks zipo pia?
 
Mbona US inatumia Microsoft iliyojaa workforce from around the globe including Chinese!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…