bahati mbaya sana hujataka kuangalia e-GA wanachokifanya , wana produce best software na nina uhakika una image ya mifumo ya serikalini miaka 10 iliyopita huna experience latest ya mifumo ya serikali
Mbona US inatumia Microsoft iliyojaa workforce from around the globe including Chinese!!?
Sioni shida
Core business ya eGA siyo development ya mifumo
Yeye ni regulator
What we need ni strong regulation and protection ha mifumo inayotengenezwa
kutengeneza mfumo ulio stable sio kazi ndogo, unachofundishwa shule na real life ni vitu viwili tafauti, we hujawahi jiulize mpaka leo vitu kama game studio bado hazipo africaumesema ukweli mtupu ,tusipowaamini vijana wetu tukawa tunaendekeza 10% tunaua innovation ya vijana wetu,leo hii mtu anadiriki kubeza mifumo kama ya GEPG kweli?
Inakua upigaji kama kazi haiendani na bei mnayopewa ila eti kulipa kampuni ikuundie mfumo inageukaje ufisadi?
Kuna mentality za ujamaa zinatutesa sana kwamba kuiba kampuni binafsi kazi ni ufisadi? Hamhoji ufanisi, ubora n.k as if kazi wakipewa taasisi ya serikali basi hawatoiba? e-Ga huko mbona ufanisi upo chini sana hata CAG alisema.
Tuache mawazo ya kizamani uchumi wa sasa ni private sector driven.
Nani alikwambia rushwa ipo Nmb tu lakini eGA hakuna rushwa?Rushwa hupofusha ,unaanza kuuliza kazi za e-GA leo?
unaona ni sawa namna mifumo ya serikali yenye siri za nchi kuanza kugawiwa kwa sekta binafsi tena bank ,bora ingekua kampuni ambayo kazi yake ni kutengeneza mifumo na sio bank ambao kazi yao ya msingi sio utengenezaji wa mifumo.
Ujue ninaposoma namna unavyo justfy NMB kupewa tender napata hasira sana,rushwa hupofusha
Leo NMB kesho CRDB akipewa reliability ya usiri inaishia wapi?
watu mna comment kama mmekatwa vichwa
Uko shallow and emotionalSio kila kitu ushirikishe sekta binafsi, duniani kote wanapigana kupata taarifa za mataifa mengine. Sasa pata picha NMB kuna watu wa mataifa ya nje (Wazungu,Wakenya nk) then unawapa access ya mifumo yenye critical data ....... unazani watakuacha wewe au unazani wanakupenda na kumbuka NMB anafanya nao kazi kwa mkataba.Sasa mtu kama huyu baada ya mkataba wake kuisha ni rahisi kukuattack kwani anajua kila kitu kwenye mfumo wako ni kazi ya kuandika script/code na kuautomate na kuattack system yako.
Acheni siasa mpaka huku kuna siku mtajikuta taarifa zenu zote za ndani zipo nje.........
CAG kasema sababu ndio wajibu wake kutoa ripoti kwa raia, hivi ushasikia attack yoyote NMB? Unazani NMB hawawi attacked?Hawawezi kukuambia kama wamekuwa attacked sababu wana haribu reputation ya kampuni yao na kupoteza trust kwa wateja wao.Ila hizi bank zinapigwa sana kuliko taasisi yoyote ya serikali, sisi tulio kwenye hii industry tunaona na tunajua.
Husione taasisi kukomaa na kung'ang'ania watu wake wa ndani aliowaamini na kuwafanyia vetting sababu,anapunguza chance ya kuwa attacked.
Brother kwenye maswala ya Cybersecurity,mtu akijua configuration zako,Script/code, design ya network yako na kuona configuration zako umekwisha.
Bongo nyosso… soma sheria yao uone kama development ipoKwa hiyo mifumo waliyojenga walikua hawajui kazi zao? Au unataka sema hakuna mfumo ulitengenezwa na eGA hapa nchini?
I think jf needs fact finding intellects au hata wawe Wana kusanya clarity kutoka kwa wahusika ili kuweka sawa mamboMleta mada amepotosha kwa makusudi. Ni mjinga fulani anaye nufaika na ubabaishaji wa eGA. Hawa machawa wa eGA ni wanafiki, waoga ambao wanataka kila kitu kifanywe na eGA wakati hawana uwezo. Wanajificha kwenye mgongo wa sheria badala ya kufanya kazi kitaalamu. Tafuteni msingi wa hiyo MoU mjue nini kinataka kufanyika.
Na nyie wana JF msiwe mna support vitu msivyo vijua. Tafuta information kwanza kabla ya kulaumu.
Wanatengeza mfumo ambao upo tayari. Mfumo huo upo, kazi ya NMB kutengeneza mfumo huo ya nini tena? Mtoa mada anahoja.Kwani,kama ni open tender, na NMB ina watu wanaoweza kufanya hiyo kazi, tatizo lipo wapi?
Kama unadai issue ya taarifa nyeti, nani hawezi kuzifikia kama ni successful bidder(aliyeshinda tender)! Au unadhani kila developper anaweza kufanya hiyo kazi?
Mrwanda yupi kapewa uteuzi?Kama mnawaamini hao TISS mbona kuna wanyarwanda wamepewa teuzi tena nzito nzito? Kama hao TISS wako vzr si wangezuia
Brother acha mizaha sawa?Wewe unahisi vetting za benk ni mchezo? Hasa mabenk makubwa kama NMB na CRDB? Wao wako more serious than government institutions elewa hivyo.Na moja ya sifa ya kufanya kazi benk ni kuwa na uwezo wa kutunza siri
kila mtu amekuwa IT expertWabongo tupunguze ujuaji, kwamba NMB ihujumu serikali!! wakati serikali inamiliki 40% ya benki hiyo?
bahati mbaya sana hujataka kuangalia e-GA wanachokifanya , wana produce best software na nina uhakika una image ya mifumo ya serikalini miaka 10 iliyopita huna experience latest ya mifumo ya serikali
🤦🏿♂️Yaleyale ya January Makamba kuleta kampuni binafsi la wahindi kwa mabilioni ya fedha la NIKONEKT alafu hakuna kilichofanyika