e-GA inahujumiwa

e-GA inahujumiwa

bahati mbaya sana hujataka kuangalia e-GA wanachokifanya , wana produce best software na nina uhakika una image ya mifumo ya serikalini miaka 10 iliyopita huna experience latest ya mifumo ya serikali


kama mtu naeijua EGA vizuri naweza nkaconfirm they have the worst service, ulishawahi kupewa shared hosting bila cpanel? sasa ndo EGA hao, sjui ata nani anasmamia hawa jamaa ila anatakiwa ajiuzulu mda mrefu sana
 
Mama alishawaambia kila mtu ale kwa urefu wa kamba take, acha majungu Kama kamba yako fupi hapo hamia Nmb
 
Sioni shida

Core business ya eGA siyo development ya mifumo

Yeye ni regulator

What we need ni strong regulation and protection ha mifumo inayotengenezwa

anadeal na mifumo pia ila ni mibovu africa nzima
 
umesema ukweli mtupu ,tusipowaamini vijana wetu tukawa tunaendekeza 10% tunaua innovation ya vijana wetu,leo hii mtu anadiriki kubeza mifumo kama ya GEPG kweli?
kutengeneza mfumo ulio stable sio kazi ndogo, unachofundishwa shule na real life ni vitu viwili tafauti, we hujawahi jiulize mpaka leo vitu kama game studio bado hazipo africa
 
Inakua upigaji kama kazi haiendani na bei mnayopewa ila eti kulipa kampuni ikuundie mfumo inageukaje ufisadi?

Kuna mentality za ujamaa zinatutesa sana kwamba kuiba kampuni binafsi kazi ni ufisadi? Hamhoji ufanisi, ubora n.k as if kazi wakipewa taasisi ya serikali basi hawatoiba? e-Ga huko mbona ufanisi upo chini sana hata CAG alisema.

Tuache mawazo ya kizamani uchumi wa sasa ni private sector driven.

EGA inatakiwa kufutwa.
 
Gvt naipongeza sana kwa hii move hongera wazri Nape pamoja na kuwa business licence ya NMB
ni Banking lakini digitization ktk most Banks ni very advanced na efficiencies na effective yake ni ya hali ya juu sana kuliko ktk taasisi za Gvt.

Ktk Banking kuanzia wateja wakubwa Corporate and Investment wa Kati na wa chini Retail IT strategy ndio leading strategy ktk modern Banks even in Tanzania.

Ni muhimu sana kufanya transformation hiyo ktk Gvt kwa kupata ujuzi wa wa NMB.
 
e-Ga bado sana! Wakipewa kazi hiyo waliyopewa NMB itakuwa ni disaster. Mifumo yao tu midogo kama ERMS inawashinda. Kila siku ipo down. Na ikienda down unatumia masaa 6-7 ku restore. Hao ndio uwape kudevelop mifumo itakayohusisha kutoa huduma kwa watu mamilioni kwa siku?
 
Kwani maamuzi haya hayafiki baraza la mawaziri? Yani waziri husika anakuja na idea yake anapuyanga bila kujadiliwa barazani?
 
Rushwa hupofusha ,unaanza kuuliza kazi za e-GA leo?
unaona ni sawa namna mifumo ya serikali yenye siri za nchi kuanza kugawiwa kwa sekta binafsi tena bank ,bora ingekua kampuni ambayo kazi yake ni kutengeneza mifumo na sio bank ambao kazi yao ya msingi sio utengenezaji wa mifumo.
Ujue ninaposoma namna unavyo justfy NMB kupewa tender napata hasira sana,rushwa hupofusha
Leo NMB kesho CRDB akipewa reliability ya usiri inaishia wapi?
watu mna comment kama mmekatwa vichwa
Nani alikwambia rushwa ipo Nmb tu lakini eGA hakuna rushwa?

Nani alisema ukitumia civil servants your products are safe lakini ukitumia private sector sio safe?

Nani anaongoza kwa rushwa Tanzania? Sio public servants?

Kabla hujaanza kutukana tafakari

Ficha upumbavu wako
 
Sio kila kitu ushirikishe sekta binafsi, duniani kote wanapigana kupata taarifa za mataifa mengine. Sasa pata picha NMB kuna watu wa mataifa ya nje (Wazungu,Wakenya nk) then unawapa access ya mifumo yenye critical data ....... unazani watakuacha wewe au unazani wanakupenda na kumbuka NMB anafanya nao kazi kwa mkataba.Sasa mtu kama huyu baada ya mkataba wake kuisha ni rahisi kukuattack kwani anajua kila kitu kwenye mfumo wako ni kazi ya kuandika script/code na kuautomate na kuattack system yako.

Acheni siasa mpaka huku kuna siku mtajikuta taarifa zenu zote za ndani zipo nje.........

CAG kasema sababu ndio wajibu wake kutoa ripoti kwa raia, hivi ushasikia attack yoyote NMB? Unazani NMB hawawi attacked?Hawawezi kukuambia kama wamekuwa attacked sababu wana haribu reputation ya kampuni yao na kupoteza trust kwa wateja wao.Ila hizi bank zinapigwa sana kuliko taasisi yoyote ya serikali, sisi tulio kwenye hii industry tunaona na tunajua.

Husione taasisi kukomaa na kung'ang'ania watu wake wa ndani aliowaamini na kuwafanyia vetting sababu,anapunguza chance ya kuwa attacked.

Brother kwenye maswala ya Cybersecurity,mtu akijua configuration zako,Script/code, design ya network yako na kuona configuration zako umekwisha.
Uko shallow and emotional

Very bad combo
 
Kwa hiyo mifumo waliyojenga walikua hawajui kazi zao? Au unataka sema hakuna mfumo ulitengenezwa na eGA hapa nchini?
Bongo nyosso… soma sheria yao uone kama development ipo

That being said… naona kama hoja tunaipindisha kutoka kwenye hujuma na kuja kuhoji right questions

I don’t believe taasisi nyingine kujenga mifumo ni hujuma
 
Mleta mada amepotosha kwa makusudi. Ni mjinga fulani anaye nufaika na ubabaishaji wa eGA. Hawa machawa wa eGA ni wanafiki, waoga ambao wanataka kila kitu kifanywe na eGA wakati hawana uwezo. Wanajificha kwenye mgongo wa sheria badala ya kufanya kazi kitaalamu. Tafuteni msingi wa hiyo MoU mjue nini kinataka kufanyika.

Na nyie wana JF msiwe mna support vitu msivyo vijua. Tafuta information kwanza kabla ya kulaumu.
 
Mleta mada amepotosha kwa makusudi. Ni mjinga fulani anaye nufaika na ubabaishaji wa eGA. Hawa machawa wa eGA ni wanafiki, waoga ambao wanataka kila kitu kifanywe na eGA wakati hawana uwezo. Wanajificha kwenye mgongo wa sheria badala ya kufanya kazi kitaalamu. Tafuteni msingi wa hiyo MoU mjue nini kinataka kufanyika.

Na nyie wana JF msiwe mna support vitu msivyo vijua. Tafuta information kwanza kabla ya kulaumu.
I think jf needs fact finding intellects au hata wawe Wana kusanya clarity kutoka kwa wahusika ili kuweka sawa mambo

Itawajengea heshima kubwa sana
 
Kwani,kama ni open tender, na NMB ina watu wanaoweza kufanya hiyo kazi, tatizo lipo wapi?
Kama unadai issue ya taarifa nyeti, nani hawezi kuzifikia kama ni successful bidder(aliyeshinda tender)! Au unadhani kila developper anaweza kufanya hiyo kazi?
Wanatengeza mfumo ambao upo tayari. Mfumo huo upo, kazi ya NMB kutengeneza mfumo huo ya nini tena? Mtoa mada anahoja.
 
Wewe unahisi vetting za benk ni mchezo? Hasa mabenk makubwa kama NMB na CRDB? Wao wako more serious than government institutions elewa hivyo.Na moja ya sifa ya kufanya kazi benk ni kuwa na uwezo wa kutunza siri
Brother acha mizaha sawa?
 
bahati mbaya sana hujataka kuangalia e-GA wanachokifanya , wana produce best software na nina uhakika una image ya mifumo ya serikalini miaka 10 iliyopita huna experience latest ya mifumo ya serikali

Walikuwa wapi wakati wote huo kutengeneza hiyo mifumo na ikawa na ufanisi?

Nachajua wanaenda kufanya collaboration na serikali kuiboresha na kuunda mifumo ambaya itakuwa inajibu changamoto kubwa ya taarifa na kuwasiliana na taasisi nyingine.

Kutowaamini Nmb ni kutiwatendea haki. Taasisi za fedha ni moja ya maeneo ambayo kuna level kubwa ya integrity. Hapa mimi sina mashaka na usalama wa taarifa za wateja.

Tuunge mkono uthubutu wa waziri kuihuisha tehama serikalini, itatupa ahueni sana hasa kwa wapenda digitization services.

Hii ni moja ya PPP kwa upande wa digital space.
 
Back
Top Bottom