Sio kila kitu ushirikishe sekta binafsi, duniani kote wanapigana kupata taarifa za mataifa mengine. Sasa pata picha NMB kuna watu wa mataifa ya nje (Wazungu,Wakenya nk) then unawapa access ya mifumo yenye critical data ....... unazani watakuacha wewe au unazani wanakupenda na kumbuka NMB anafanya nao kazi kwa mkataba.Sasa mtu kama huyu baada ya mkataba wake kuisha ni rahisi kukuattack kwani anajua kila kitu kwenye mfumo wako ni kazi ya kuandika script/code na kuautomate na kuattack system yako.
Acheni siasa mpaka huku kuna siku mtajikuta taarifa zenu zote za ndani zipo nje.........
CAG kasema sababu ndio wajibu wake kutoa ripoti kwa raia, hivi ushasikia attack yoyote NMB? Unazani NMB hawawi attacked?Hawawezi kukuambia kama wamekuwa attacked sababu wana haribu reputation ya kampuni yao na kupoteza trust kwa wateja wao.Ila hizi bank zinapigwa sana kuliko taasisi yoyote ya serikali, sisi tulio kwenye hii industry tunaona na tunajua.
Husione taasisi kukomaa na kung'ang'ania watu wake wa ndani aliowaamini na kuwafanyia vetting sababu,anapunguza chance ya kuwa attacked.
Brother kwenye maswala ya Cybersecurity,mtu akijua configuration zako,Script/code, design ya network yako na kuona configuration zako umekwisha.