Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani hata sahivi ambapo passport number ipo issued na immigration hakuna watu wasio na sifa wanapata passport au VISA?maana yake wanaweza kutengeneza hata passport maana namba wana generate wao
Actually nilikuambia uko emotional without being analyiticalNape ni Godfather wako, mtetee sana lakini unatakiwa kujua ame commit treason , na ipo siku atalipa kwa uhuni alio ufanya.
Umesikia hapo? Sheria inasema "integrate with the government systems" na sio "Generate/create/initiate new systems" means sheria haina tatizo kwa kampuni binafsi kutoa huduma kwa mifumo ambayo ipo e-Ga tayari kama tu itaongeza ufanisi.Bado hujasema sheria ipi inampa mamlaka Nape Godfather wako kuipa tender NMB ya mifumo ambayo ipo tayari e-GA
EGA ni regulator and that is their job kabisaHao jamaa itakuwa hawaifahamu eGa, au ni miongoni mwa wapigaji, maana Ega ipo Kwa ajili ya kuzuia mianya yote ya upigaji.
Nakupa mfano mmoja tu wa Mfumo wa taifa wa kuunganisha mifumo yote GOVESB watu walikuw wanakula Hela kwenda mifumo yao taasisi Kwa taasisi, sisi tukatengeneza GOVESB Kila taasisi isajili Mfumo wake hapo, then atakae taka data za mwenzie anazikuta hapo kwenye GOVESB shughuli imeisha tena free of charge.
Kwahiyo zile fedha za kwenda kuunganisha taasisi Kwa taasisi watu hawapati tena mana sasa kupata data ni Bure.
Nadhan Kwa mfano huo mmoja inatosha,
Bado sijagusa GEPG , unadhan Serikali inaingiza mapato kiasi gani kupitia GEPG ni zao la EGA , so mtu yeyote anayeisema vibaya EGA jua kabisa mirija yake ya ulaji imezibwa au haifahamu vizuri EGA.
Kwa maelezo zaidi kuhusu EGA tembelea tovuti yetu ya e-GA | Mwanzo
Tuna very strong governmentHawa watu Nape na wenzake muda sio mrefu watakuja kulazimisha mifumo ya Usalama itengenezwe NMB , ni aibu na ushamba wa technolojia.
Kuna kikao walishawahi kukaa wizara ya fedha na mipango toka JPM hajaondoka.Miezi takribani sita imepita niliandika juu ya njama za viongozi waandamizi wa serikali kuihujumu mamlaka ya serikal mtandao(e-GA). Mipango ya e-GA kuzuiwa kufanya majukumu ya uundaji wa mifumo ya serikali ili waandamizi watafute kampuni binafsi kufanya hayo imeanza kufanikiwa.
Leo Wizara ya TEHAMA imeingia makubaliano na NMB ili NMB iwe inalipwa na serikali kutengeneza mifumo ya TEHAMA ya serikali.
Kwa mujibu wa MOU iliyo sainiwa leo , NMB atatoa wataalamu wa TEHAMA(Software developers) kutengeneza mfumo utakao replace NIDA na RITA ,kama mnavyofahamu ,serikali inakuja na jamii number ,namba ambayo mtoto akizaliwa atakuwa nayo na atakua nayo ,initiative nzuri sana lakiniiiii, kulikua na ulazima gani wa mradi nyeti kama huu kupewa taasisi binafsi? wafanyakazi wa NMB wana proper vetting kuanza kushika mifumo ya siri namna hii?
Achana na jamii bima, ESB ambayo tayari ipo e-GA na inafanya kazi, Wizara ya TEHAMA imeamuru NMB kupewa tender kupitia MOU hio wao ndio watengeneze ESB ya serikali, yaani mawasiliano ya mifumo yote ya serikali ananyang'anywa e-GA na anapewa NMB why?
Hivi nchi hii tuna mawaziri wanaofikiria kweli? Haya ndio mambo ya waziri alikuja na kufuta physics akasema iwe physics with chemistry, waziri huyo wa zamani alifuta masomo ya biashara na kilimo pia kabla ya serikali ku reverse maamuzi hayo, lakini kama mnakumbuka kuna watanzania walifutiwa masomo hayo.
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa maslahi ya nani?
Waziri wa TEHAMA unaua e-GA kwa kumkomoa nani?
View attachment 2883959
Ni regulator mwenye jukumu la kutengeneza mifumo na standard za matumizi wa IT serikalini .EGA ni regulator and that is their job kabisa
Kudos to them
unataka kuruhusu waislamu wawe wanakula nguruwe kwa kua kuna baadhi ya waislamu wasio safi hua wanakula?Kwani hata sahivi ambapo passport number ipo issued na immigration hakuna watu wasio na sifa wanapata passport au VISA?
Mbona hata NIDA kuna wasio raia wamepewa NIDA za uraia?
Kama Mnachohofia NMB kimeshatokea immigration na NIDA sasa kuna nini mnagain kwa kuogopa NMB?
Kingine passport utaipata kwa utaratibu huu huu wa sasa tofauti tu ni kwamba instead wakupe namba mpya wanatumia ile ile uliyokwishapewa na NIDA, TIN etc kwa urahisi wa coordination na sio kwamba eti passport zitakua issued na NMB!!
ExcellentNi regulator mwenye jukumu la kutengeneza mifumo na standard za matumizi wa IT serikalini .
uzuri sheria hii hapa isome na kama una changamoto wewe una nafasi serikalini pelekeni mswaada ifutwe simple like that, lakini kuiua kihuni sio jambo legit
una taarifa ya kikao walichokaa wizara ya fedha na mipango few days kabla JPM hajafariki elit wa IT?Tuna very strong government
That will never happen
uko sahihi kwenye kuto duplicate effort , suala la msingi ambalo limeainishwa na e-GA regulation ni kuwa kwenye utengenezaji wa mifumo,hawajazuia taasisi yeyote kutengeneza mifumo,wametaka taasisi kutoa report e-GA ili kama mfumo huo upo tayari wasihangaike kutengeneza tena.Excellent
Imesema ni yeye pekee?
I think hoja kuu hapa hi why duplicating efforts
ILA sio hizo emotions zako za kibwege
Nadhani wewe umetenda haki kwenye mjadala… siyo Yule kinabo olimpiouko sahihi kwenye kuto duplicate effort , suala la msingi ambalo limeainishwa na e-GA regulation ni kuwa kwenye utengenezaji wa mifumo,hawajazuia taasisi yeyote kutengeneza mifumo,wametaka taasisi kutoa report e-GA ili kama mfumo huo upo tayari wasihangaike kutengeneza tena.
Swali la msingi ESB ipo e-GA au haipo? jibu ni rahisi sana ESB ipo na iko operational
then why Wiraza ya TEHAMA imeipa tender NMB kutengeneza mfumo ambao upo?
PIli Jamii number ni mradi ambao tayari developer wa serikalini wana miezi minne sasa morogoro wanatengeneza ,why Wizara imegawa tender kwa NMB tena?
Kama lingekua jambo la ufanisi wa mifumo ,wangetangaza tender ya wazi ili makampuni yaombe tender
Kufanya single source procurement inaenda kinyume na sheria za procurement na ni audit query.
Single source inaruhusiwa tu kwa taasisi kama usalama wa taifa ,wanapofanya manunuzi ya zana zao wanafanya tafiti na kupata kampuni yenye hio bidhaa then wananunua . Hii ni kutokana na usiri na unyeti wa taasisi wa usalama wa nchi.
NMB ana vigezo gani au ESB na jamii number system zina vigezo gani kuingia kwenye single source procurement?
Sheria haina tatizo kabisa ,inasema wataarifu e-GA kama unataka kuanza utengenezaji wa mfumo mpya ili kuepuka duplication ya mifumo ,mfano mailing system tayari e-GA wameshatengeneza ,ukitaka kutengeneza wako lazima useme nini unakikosa kwenye mailing system ya serikali.Umesikia hapo? Sheria inasema "integrate with the government systems" na sio "Generate/create/initiate new systems" means sheria haina tatizo kwa kampuni binafsi kutoa huduma kwa mifumo ambayo ipo e-Ga tayari kama tu itaongeza ufanisi.
Hawatafanikiwauna taarifa ya kikao walichokaa wizara ya fedha na mipango few days kabla JPM hajafariki elit wa IT?
Walitaka e-GA ife kipindi cha JPM wakashtukiwa lakini sasa wako full na watafanikiwa ,wameweka watu kila sehemu yenye maamuzi .Development ya mifumo serikalini iko kwenye miezi sita ya mwisho
Nchi ni yetu sote , sina shida CRDB akishirikishwa lakini kuwe na uwazi tu wa namna tender imepatikana , ili kuondoa maswali kama ya mleta maada olimpio , kukiwa na maelezo huenda wako sahihi ,we just need the informationNadhani wewe umetenda haki kwenye mjadala… siyo Yule kinabo olimpio
Hapa ipp changamoto… pia umegusia very important issue ya single source kwenye ununuzi… ni banana skin hiyo
Uko very constructive mkuu
sidhani ,kuna jambo natamani kuliandika hapa lakini ni very explosive , e-GA haina maishaHawatafanikiwa
Acha mambo ya darasani ya kukariri notes ulizodanganywaSasa mwanahisa tokea lini akapewa code,configuration mimi na zungumzia wafanyakazi wa nje wanaofanya kazi NMB, wenye access na mifumo na network ya NMB ambao wanafanya kazi kwa mikataba (Technical Part)...... hivi unajua ramsomware attack? Halafu akuache baada ya mkataba wake kuisha wakati chocho zote anazijua.......
Niletee audit report ya NMB upande wa IT....... kama haipo ushajiuliza why hawaiweki hadharani?Wewe najua hutaki na siasa umezijaza kichwani,ila bank zote zinapigwa kila siku na wewe huwezi jua na hautokuja kujua, sababu taarifa zake haziendi public. Kuna taasisi naijua nishafanya nayo kazi 2019,network/mifumo yao ipo chini ya wahindi ila walipigwa na Ramsomware attack wakalipa hela ndefu.
Hivi source kuu ya Cybersecurity attack unazijua ?
Unaijua Ramsomware Attack,White and black hat wanavyo fanya kazi ........?
Hivi ushawahi kuingia kwenye device yoyote ile server,storage au any network device.....au hata kudisplay "hello world... " kwa kitumia programing language yoyote ?
Naona kama naongea na wanasiasa,kwani nazani hutonielewa.
Vitu vingine ukikaa kimya hupungukiwi kitu, ila duniani halipo taifa linalo wapa watu wasio waamini mifumo yao na network yao halipo taifa hilo na hamna tasisi yyt ambayo haijawa attacked kama sio leo basi kesho.
CIA,FBI, MOSSAD nk washapigwa, pamoja wamewaajili watu wanao wajua na walio wafanyia vetting.
Mkuu inaonekana unataarifa za wizi wa uchepushaji wa pesa za manunuzi ya umeme hebu tuelekeze kwa kina inakuwaje?Wewe kichwa maji sana 40% ndio inakufanya uamini NMB apewe hiyo kazi?
-Wafanyakazi wa NMB wanalipwa na kuajiriwa na nani? What's the vetting process?
-sera ya usiri katika kazi NMB ipoje
-NMB ni taasisi ya kifedha, inawezekana vipi wapewe kazi ya mifumo ya kielectronic wakati business line yao ni kudeal na fedha na sio technology.
-Kumbuka mwenye hisa kubwa ndiye muamuzi mkuu, sasa serikali itaweza kusema nini kuhusu mambo yakienda tofauti?
Moja, tunaitaka NMB na SERIKALI watuwekee business license kwamba NMB pia wana deal na kuendesha biashara au huduma za kiteknilojia
Pili, mfumo wa ega unahusisha malipo na huduma mbalimbali kwa serikali, hivyo serikali ituhakikishie kuwa hakuna taarifa au malipo yatakayochepushwa kwenda NMB.
Tatu, sasa ni wakati wa ofisi ya CAG watumishi wake wachaguliwe hasa Chief officer asiteuliwe na rais ili awe huru kupitia na kukagua taasisi mbalimbali.
NB. Kuna mfumo wa malipo serikalini GePG hasa upande wa manunuzi ya umeme kuna wizi wa uchepushaji fedha za manunuzi ya umeme unafanyika huko, yaan ni kufuru huko hatari.