Uhakiki
JF-Expert Member
- May 18, 2017
- 7,288
- 7,704
Selcom ilikuaje mkuuKile kile kilichoifukuzisha Selcom kinaenda kutokea NMB
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Selcom ilikuaje mkuuKile kile kilichoifukuzisha Selcom kinaenda kutokea NMB
now this is the thinking inayohangaika hapa JF kweli?kwan mkuu we si unafanya kazi ambayo hujasomea chuo pia 😂
wewe kiongozi nimegundua unachojua kwenye IT ni siasa na microsoft word pekee ,na kwa mbali excel .kwahio unaona nafanya comedy apa, ebu zitaje izo enterprise za microsoft! usianze mambo ya microsoft word sjui azure, taja sehem ambayo microsoft bila uwepo wao kuna pengo
Nilikujibu based on his your levelHuna unacho kijua kaka mimi nipo kwenye field hii wewe endelea na oya oya zako.
Ndio maana nilikuambia nipinge kwa hoja za kisecurity upande wa IT, ila naona unajaza chai.
ARISNitacommeny kitaalamu maana ni tasnia yangu.
Kwa Tanzania IT wa mashirika binafsi na wa serikalini ni mbingu na ardhi.
IT wanatengeneza system mbovu kuanzia user interface, nzito kuload na withoutdated technology.
Nitajie mfumo wowote wa serikali usiointegrate na private sector ulio stable.
Nitacommeny kitaalamu maana ni tasnia yangu.
Kwa Tanzania IT wa mashirika binafsi na wa serikalini ni mbingu na ardhi.
IT wanatengeneza system mbovu kuanzia user interface, nzito kuload na withoutdated technology.
Nitajie mfumo wowote wa serikali usiointegrate na private sector ulio stable.
bahati mbaya sana hujataka kuangalia e-GA wanachokifanya , wana produce best software na nina uhakika una image ya mifumo ya serikalini miaka 10 iliyopita huna experience latest ya mifumo ya serikali
wewe kiongozi nimegundua unachojua kwenye IT ni siasa na microsoft word pekee ,na kwa mbali excel .
Kajifunze kwanza then urudi tubishane
Nani amekuambia mfumo wa Matokeo wa NECTA ni wa e-GA?
hii ndio shida yakudandia vitu
now this is the thinking inayohangaika hapa JF kweli?
kwa nini ufanye kazi ambazyo hujasomea , how do u manage it?
yaani unataka kuaminisha watu kuwa NMB sio software dev company lakini ni sawa kupewa kazi ya kutengeneza mifumo?
Daktari apewe kazi ya kukusanya mapato?
very narrow thinking capacity
cha muhimu kazi imefanyika 😂Anafanya kazi gani?