Afu hawa Tigo na Voda design kama wabaguzi hivi hata kwenye 5G Voda ameruhusu kwa simu za Samsung & iPhone tuu ...nlienda Voda branch ku update line yangu ya Voda kwenda 5G (natumia Google pixel 5a inayo support 5G) ndo wakaniambia kwa simu za Google pixel bado Voda haijawezesha 5GTigo Tanzania [emoji1241] na Vodacom Tanzania [emoji1241] sijui watatuletea lini hii huduma ya eSIM[emoji2356] kwa wasiotumia Airtel
Kwahyo mkuu sahivi unatumia line mbiliNatumia Google pixel 5a ina esim nlienda Airtel wakaunganisha line yangu now naenjoy
Yes mkuuKwahyo mkuu sahivi unatumia line mbili
Bro fafanua ina maana naweza weka line mfano airtel 1,2,3 kwa hio simu ikawa na line nne au naelewa vibaya
Kilangi masanja Ni hivi Sister Kilangi..unaweza kuweka line zako za Airtel ata 5 au 4 za Airtel tu kisha line nyingine ikawa ya mtandao mwingine
Umenichekesha Kiongozi🤣🤣🤣👋Afu hawa Tigo na Voda design kama wabaguzi hivi hata kwenye 5G Voda ameruhusu kwa simu za Samsung & iPhone tuu ...nlienda Voda branch ku update line yangu ya Voda kwenda 5G (natumia Google pixel 5a inayo support 5G) ndo wakaniambia kwa simu za Google pixel bado Voda haijawezesha 5G
Asante hiki ndio nilikitaka sasa nigga afu mie sio sistaKilangi masanja Ni hivi Sister Kilangi..unaweza kuweka line zako za Airtel ata 5 au 4 za Airtel tu kisha line nyingine ikawa ya mtandao mwingine
Ila hewani zitasomeka two lines only..pale utakapotaka kuswitch on line zako nyingine utaziswitch kwahiyo utachagua wewe mwenyewe line zipi ziwe hewani na zipi zisiwe hewani
Kilangi masanja namimi sio Brother NiggaAsante hiki ndio nilikitaka sasa nigga afu mie sio sista
Mimi mwenyewe ninatumia Google pixel 5a nilienda Airtel wakafanya Yao. Naendelea kudunda.Natumia Google pixel 5a ina esim nlienda Airtel wakaunganisha line yangu now naenjoy
Mimi mwenyewe ninatumia Google pixel 5a nilienda Airtel wakafanya Yao. Naendelea kudunda.
Mimi binafsi hivi sasa na pixel 5 yangu.Mimi mwenyewe ninatumia Google pixel 5a nilienda Airtel wakafanya Yao. Naendelea kudunda.
Hata ya kwangu pixel 4xl mambo mukideMimi binafsi hivi sasa na pixel 5 yangu.
Nameanza kufaidi mema ya nchi
Tunawashangaa sanaTigo Tanzania [emoji1241] na Vodacom Tanzania [emoji1241] sijui watatuletea lini hii huduma ya eSIM[emoji2356] kwa wasiotumia Airtel
Mkuu 5a ina support Esim hata mimi nilikuwa na simu kama iyo na wakala akawa anasema haina Esim, Nirirudi na Kukomaaa mpaka waka enable hio Esim na ilifanikiwa nilicho note wakala wengi hawako aware au hawajui simu zenye compatibility ya esim na ujuaji mwingiNatumia pixel 5a, kwenye connection settings inaonyesha kuwa in support eSIM. But airtel wanasema haisapoti. Ishu inaweza kuwa ni nini?
Mawakala hawa wa kusajili na kuswap laini ni michosho ni hawapishani sana kiviile na hata hawa ma customer cares wa huduma ya 100.. Kuna mambo ya kawaida mno bado huwa wanatatiza sana kuya solve.Mkuu 5a ina support Esim hata mimi nilikuwa na simu kama iyo na wakala akawa anasema haina Esim, Nirirudi na Kukomaaa mpaka waka enable hio Esim na ilifanikiwa nilicho note wakala wengi hawako aware au hawajui simu zenye compatibility ya esim na ujuaji mwingi
Gharama je?Natumia Google pixel 5a ina esim nlienda Airtel wakaunganisha line yangu now naenjoy
Ipo kat ya 2000/= au 1000/= maana nilisikia 1000/= ila nilipoenda kwenye branch ya k/koo nimeitoa 2000/= kukamilishiwa uduma hiiHakuna gharama Broh
Spartacus boy
acontinuer Me nilienda HQ Morocco nikakamilishiwa bure sikuombwa ata Senti 1Ipo kat ya 2000/= au 1000/= maana nilisikia 1000/= ila nilipoenda kwenye branch ya k/koo nimeitoa 2000/= kukamilishiwa uduma hii