Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Afu hawa Tigo na Voda design kama wabaguzi hivi hata kwenye 5G Voda ameruhusu kwa simu za Samsung & iPhone tuu ...nlienda Voda branch ku update line yangu ya Voda kwenda 5G (natumia Google pixel 5a inayo support 5G) ndo wakaniambia kwa simu za Google pixel bado Voda haijawezesha 5GTigo Tanzania [emoji1241] na Vodacom Tanzania [emoji1241] sijui watatuletea lini hii huduma ya eSIM[emoji2356] kwa wasiotumia Airtel