E-SIM imefika Tanzania. Hii inamanisha nini kwetu watumiaji?

Tigo Tanzania [emoji1241] na Vodacom Tanzania [emoji1241] sijui watatuletea lini hii huduma ya eSIM[emoji2356] kwa wasiotumia Airtel
Afu hawa Tigo na Voda design kama wabaguzi hivi hata kwenye 5G Voda ameruhusu kwa simu za Samsung & iPhone tuu ...nlienda Voda branch ku update line yangu ya Voda kwenda 5G (natumia Google pixel 5a inayo support 5G) ndo wakaniambia kwa simu za Google pixel bado Voda haijawezesha 5G
 
Bro fafanua ina maana naweza weka line mfano airtel 1,2,3 kwa hio simu ikawa na line nne au naelewa vibaya
Kilangi masanja Ni hivi Sister Kilangi..unaweza kuweka line zako za Airtel ata 5 au 4 za Airtel tu kisha line nyingine ikawa ya mtandao mwingine

Ila hewani zitasomeka two lines only..pale utakapotaka kuswitch on line zako nyingine utaziswitch kwahiyo utachagua wewe mwenyewe line zipi ziwe hewani na zipi zisiwe hewani
 
Afu hawa Tigo na Voda design kama wabaguzi hivi hata kwenye 5G Voda ameruhusu kwa simu za Samsung & iPhone tuu ...nlienda Voda branch ku update line yangu ya Voda kwenda 5G (natumia Google pixel 5a inayo support 5G) ndo wakaniambia kwa simu za Google pixel bado Voda haijawezesha 5G
Umenichekesha Kiongozi🤣🤣🤣👋
 
Kilangi masanja Ni hivi Sister Kilangi..unaweza kuweka line zako za Airtel ata 5 au 4 za Airtel tu kisha line nyingine ikawa ya mtandao mwingine

Ila hewani zitasomeka two lines only..pale utakapotaka kuswitch on line zako nyingine utaziswitch kwahiyo utachagua wewe mwenyewe line zipi ziwe hewani na zipi zisiwe hewani
Asante hiki ndio nilikitaka sasa nigga afu mie sio sista
 
Natumia pixel 5a, kwenye connection settings inaonyesha kuwa in support eSIM. But airtel wanasema haisapoti. Ishu inaweza kuwa ni nini?
Mkuu 5a ina support Esim hata mimi nilikuwa na simu kama iyo na wakala akawa anasema haina Esim, Nirirudi na Kukomaaa mpaka waka enable hio Esim na ilifanikiwa nilicho note wakala wengi hawako aware au hawajui simu zenye compatibility ya esim na ujuaji mwingi
 
Mawakala hawa wa kusajili na kuswap laini ni michosho ni hawapishani sana kiviile na hata hawa ma customer cares wa huduma ya 100.. Kuna mambo ya kawaida mno bado huwa wanatatiza sana kuya solve.
 
TTCL noa wata launch hii huduma muda si mrefu hao wengine yawezekana wana endelea kukamilisha mambo kwanza kisha nao watalaunch hiyo huduma
 
Back
Top Bottom