Mallata Jr.
JF-Expert Member
- Feb 24, 2014
- 461
- 392

Najua wengi wetu tumecheza sana video games na bado wengine tunaendelea kucheza video games. Katika kucheza kwako games umewahi kucheza game zilizotengenezwa na kampuni ya EA SPORTS au KONAMI?. Maana haya makampuni yametengeneza games nyingi sana kama vile;
-FIFA 98
-PES 2011
-FIFA STREET 2003
-PES 2010
-NBA 2010
-NBA 2009
-FIFA 2015
-PES 2015
-TIGER WOOD TGA TOURS
-SILENT HILL
-METAL GEAR
-ROAD FIGHTER
-NBA 2015
-NBA STREET SHOWDOWN
-HARRY POTTER
-FIGHT NIGHT ROUND
-NHL HOCKEY
-BATMAN RETURN
-FIFA STREET
-OKAMI KAKUSHI etc.
sasa basi ebu tuelezane ni kampuni gani ambayo inatengeneza games nzuri kuliko nyenzie kati ya hizi mbili?. Maana hivi karibuni mzigo wa FIFA 2015 na PES 2015 uko njiani kutoka ila kwa sasa kuna demo. Je, tutegemee mabadiliko makubwa au?. Kazi kwenu wadau wa video games