Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo imevuliwa nguo mihimili yote mitatu.Haziwezi kubadilisha chochote ila zinaanika udhaifu wa mahakama zetu za ndani. Kwa watendaji wa mahakama wanaojitambua zinapotoka hukumu za aina hiyo, zinawafanya wajione ni jinsi gani wana viwango duni.
We jamaa muongo sana !mwenyekiti wako ni mbinafsi .kwenye kudai katiba mpya akuwashirikisha wezie hakina zito ,mbatia nk , mwisho wa siku akapewa kesi lakini wezie hakina zitto wakampigania afutiwe kesi na hatoke mahabusu na kweli wakafanikiwa akatoka na kesi ikafutwa nimekumbuka wakati mwenyeki wako yuko ndani ,ACT wakaanzisha kampeni ya kudai tume huru ya uchaguzui kama kawaida yenu ya ubinafsi mkishirikiana na makatibu wenu mkawakejeri na kuwadharau .sasa na Leo tena mwenyekiti yuko peke yake hapo mahakamani kwa kujifanya yeye ndie anajua sana mwenye uchungu ya vyama vipinzani mikamera inammulika yeye tu .kwa mwendo huu kwa jiona nyie bora chadema kwa kweli amtofika mbali A C H E N I UBINFSI
mnoooNi habari njema kwa wapenda demokrasia, duniani kote.
mmhmwenyekiti wako ni mbinafsi .kwenye kudai katiba mpya akuwashirikisha wezie hakina zito ,mbatia nk , mwisho wa siku akapewa kesi lakini wezie hakina zitto wakampigania afutiwe kesi na hatoke mahabusu na kweli wakafanikiwa akatoka na kesi ikafutwa nimekumbuka wakati mwenyeki wako yuko ndani ,ACT wakaanzisha kampeni ya kudai tume huru ya uchaguzui kama kawaida yenu ya ubinafsi mkishirikiana na makatibu wenu mkawakejeri na kuwadharau .sasa na Leo tena mwenyekiti yuko peke yake hapo mahakamani kwa kujifanya yeye ndie anajua sana mwenye uchungu ya vyama vipinzani mikamera inammulika yeye tu .kwa mwendo huu kwa jiona nyie bora chadema kwa kweli amtofika mbali A C H E N I UBINFSI
Lakini ni mahakama hiihii ilimkuta Mbowe na kesi ya kujibu kwenye ugaid mkuu soma vizuri hii ni East Africa court of Justice,si mahakama ya Tanzania hii ni ya Africa Mashariki
Elimu ni muhimu ndugu tajiri. Ukipata nafasi jisomee hata visivyo kuhusu usije jikuta unatulipa mshahara hewa.Tatizo lako unamchukulia Kila mtu mweñye mtazamo na hoja kinzani na zako hajasoma au ana elimu duni! Elimu uliyonayo wewe inakusaidia Nini! Nikikuambia kuwa ubora wa elimu uliyo nayo unaonekana kwenye makaratasi unayoyaita vyeti utabweka kuliko mbwakoko!
Kazana kujisifu umesoma huku tusiosoma tunakulipa mshahara! Kushindana na nature ni kujidanganya ndugu msomi! Kaa nalo hili litakufaa siku moja!
Elimu hii ya bongo yenye umahiri kwenye manila ngumu zilizochorwa maua ambazo umezipamba sebuleni kwako zinakutia kiburi unapoziangalia hazina maana kwani zinakulaza njaa Kila iitwayo Leo!Elimu ni muhimu ndugu tajiri. Ukipata nafasi jisomee hata visivyo kuhusu usije jikuta unatulipa mshahara hewa.
Elimu INA faida nyingi hata isipokuingizia kipato.
Elimu....elimu...elimu.
| Application filed on: 27th May 2019. Articles: 6(d), 7(2), 8(1) & 38(2) of the Treaty for the Establishment of the East African Community. Rule: 21 of the EACJ Rules of Procedure, 2013. Subject matter: Refraining order against the Respondent from applying and using certain provisions of the Political Parties (Amendment) Act 2019. |