EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

Kaka yangu Pascal fungua law firm itangaze hapa. Wateja tupooooo. Tatizo CCM lazima ufute viatu vya wakubwa. Na ninavyokujua wewe ngosha kujipendekeza hautaki. CCM lazima uwe unashinda Lumumba kujipendekeza kwa wakubwa. Una number ya Kinana wewe. Nape alituambia kuwa na number ya Kinana lazima uwe na connection. Any way it is never too late. Tafuta number za kina kinana walau uombe appointment za Gahawa.
 
Taarifa za ndani sana zinazofichwa zinaonyesha kwamba kwenye mchujo Ndugu Pascal jina lake lilikuwa la mwisho kabisa , yaani ndiye aliyeburuza mkia
 
Katoe sadaka ambayo ukitoa moyo wako utapata maumivu.Halafu TOA fungua la kumi kila unapopata pesa.2025 Utapata hitaji la moyo wako na Mungu atakuzidishia.
Unatoa 1M kugombea kitu ambacho huna wa kukupigania!!!!MTAFUTE MUNGU,JISHUGHULISHE KWA MAMBO YAKE,YEYE MUNGU ATASHUGHULIKA NA MAMBO YAKO. PASKO YESU ALIPOZALIWA NYOTA YAKE ILIONEKANA KWA MAMAJUSI.UNAKUMBUKA EE???
KAJIFUNZE KWA RAIS MTEULE WA KENYA NDUGU.
 
Kwa hiyo mkuu 1mil imeenda bure?
 
Wewe bila toba kwa uliyomfanyia Erick Kabendela huna pa kwenda.
 
Si haba. Nlisema leo utakuja na bandiko la kuelezea kilichotokea. Tumelipokea. Cha muhim wewe ni kiongozi wa mji wako (nakazia). Haya mengine yapo tu. We endelea kugong "thanks" kwenye comment wakat unafatilia michongo mingine. Cha muhim hukosi basic needz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…