EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

Mbona leo Maelezo yako kuhusiana na Wewe Kuteuliwa kuwa DC yamekaa Kiuhuruma na Kinidhamu zaidi tofauti na yale ya Awali katika ule Uzi wangu ambayo ulijibu Kidharau, Kinyodo na Kijeuri?

Nimeyasoma haya Maelezo yako marefu kama Treni ya Dar to Kigoma na kuona umerudia tena Dhambi yako ile ile ya Kukichafua Chama ( Hasa Wajumbe wa CCM ), Kuwadhihaki Kidiplomasia huku ukikihusicha Chama na Rushwa kwa mbali Kuikandia kinamna namna Serikali ya Kiuteuzi ( Mamlaka ) na kugundua kuwa hujatarua tatizo bali umelizidisha na uko uwezekano ukaendelea Kuminywa kila mara ambako utajitokeza Kugombea.

Ushauri wangu Kwako tumia muda wako wa sasa Kuwekeza katika Miradi na Biashara zako ( kwa Kujiajiri Mwenyewe ) huku Ukilea sasa Wajukuu ( kama Unao ) na achana kabisa na Masuala ya Siasa kwani huna Nyota nazo na zitakuharibia zaidi.

Pole mno na sana CCM Ina Wenyewe.
 
Still nina imani kubwa sana na wewe, utafika mbali sana Pascal Mayalla.
 
We jama una mabalaa na mikosi. Ulikuja duniani kusindikiza wengine?
Kila mkumbo unaachwa. Hata kama tunafundishwa tusikate tamaa hpana.🤣🤣
 
Daah umeongea kwa uchungu sana. POLE SANA
 
CCM hawaangalii CV. Pasi aijue hilo
 
Shida yako We Mzee ni kama vile CCM huijui. Ungeacha ubahili ungekua mbali sana kichama. Sababu wewe ni mtangazaji mwenye uwezo wa kuumba maneno basi unahisi utawalainisha wananzengo wenzako kwa maneno matamu, never kwa CCM.

Zile bahasha za khaki ulizokua ukizipokea kipindi kile ndo unatakiwa nawe kuzitoa sasa.
 
ccm bila rushwa hutoboi
 

Pamoja na Hii kauli, hautateuliwa hata kuosha mikono ya wajumbe wa kamati kuu!
 
hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…