EALA: Waliopitishwa CCM, ni Kwa Haki!, Tulioachwa ni kwa Haki, Tumezidiwa Vigezo!. Thanks4 for Support, Nimekubali Matokeo Kiroho Safi! Kazi Iendelee!

Paskali, ni bora ujikubali tu sasa kwamba wewe ni mzee wa fungu la kukosa. Kwa maana nyingine wewe ni sawa na "Raila Odinga" wa Bongo.
 
Wengi naona wemembeza Paskal lakini naamini ipo siku jamaa atawashangaza wengi, serikali ya CCM itampa nafasi ni suala la muda tu.
 
Pole mkuu, unataka but at the same time unaweka misimamo ambayo sio njia ya kupata unachotaka. Ukitaka kuwa mwanasiasa kubali kuwa mnafiki, kusujudu, na kujitoa ufaham. Hakuna intergrity kwenye siasa.
 

Yani pascal ni ngosha? Na huwa hataki jipendekeza? Kweli dada kwa hili ku toka kwako nasikitika sana
 
Nawapongeza wote walioteuliwa na CCM, nawaombe wabunge wa Chama changu nao wajitahidi kutuondolea hizo kokoro, ila kiukweli kuna kokoro na kokoro, kokoro nyingine, ni hakuna namna!.
Ila mkuu una maneno ya kukera Sana usiowapenda.
 
huu ushauri asiupuuze
 
Katika umri huu wa mzee Paskal bado anagombea vyeo zitokanazo na vyama ili iweje? Kwangu Mimi hakuna watu nawachulia hapa Tanzania kama waandisi wa habari...ni kada isiyojua majukumu yao kwa jamii, wapo Kama Bata tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…