Earphone nzuri ya 5,000 mpaka 10,000 mwisho isizidi hapo

Nyamwage

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2020
Posts
712
Reaction score
1,748
Habari

Earphone za buku mbili mbili na za buku jero zimenichosha sababu hazina maisha marefu wiki mbili tu zinaanza wenge sasa nataka niji upgrade nipeni jina la earphone nzuri ya 5,000 mpaka 10,000 inayo chana mawimbi ya music vizuri +strong base maana kifaa changu kina feature ya DTS sound sizitaki hizi za wireless maana zimekaa kike kike
 
Natumiaga za Ofia. Zina sauti na bass nzuri sana wala haziumizi masikio. 7k mpaka 10k kwingine
 
Tafuta Brand inaitwa Oraimo hutojutia.
 
Chukua oraimo wanajitahidi sana kwenye ubora wa products zao. Hata charger zao pia ni za uhakika na ni affordable. Earphones za oraimo unapata kuanzia Tsh 5000 - 8000 isizidi hapo kama uko Dar. Makumbusho pale jamaa yangu aliwahi pata kwa 5000 akachukua mbili. Ila ukiuziwa 7000 pia bado ni bei fair
 
Dah za buku 2. Ndo maana watu vichwa vinaenda kasi..... Kwa joto la dar na earphone za buku 2 unatafuta kuiskia mizimu masikioni na kichwa kuuma
Mpaka msanii wa ngoma unayosikiliza anaanza kuchoka
 
Oraimo hutajilaumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…