Earphone nzuri ya 5,000 mpaka 10,000 mwisho isizidi hapo

Earphone nzuri ya 5,000 mpaka 10,000 mwisho isizidi hapo

Habari

Earphone za buku mbili mbili na za buku jero zimenichosha sababu hazina maisha marefu wiki mbili tu zinaanza wenge sasa nataka niji upgrade nipeni jina la earphone nzuri ya 5,000 mpaka 10,000 inayo chana mawimbi ya music vizuri +strong base maana kifaa changu kina feature ya DTS sound sizitaki hizi za wireless maana zimekaa kike kike
Pole, zipo nzuri sana mpaka mil moja, mi natumia hizo yaani ni bomba sana. Yaani hata kama nipo kwenye makelele wala sisikii kabisa
 
Nipe 30000 nikuachie mashine hiyo
Full base
Chaji wiki nzima na kusndelea
IMG_20240129_155105.jpg
 
Back
Top Bottom