East Africa capital cities: Dodoma vs Nairobi

East Africa capital cities: Dodoma vs Nairobi




EckHknyXoAMqAX-
 
SERIKALI IMESAINI MIKATABA MIWILI YA UJENZI WA BARABARA YA MZUNGUKO WA JIJI LA DODOMA KM 112.3
Matokeo ChanyA+ 7 hours mda uliopita JIJI LA DODOMA, WIZARA YA UJENZI,UCHUKUZI NA MAWASILIANO Acha maoni 34 Imeonekana


Serikali imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa jiji la dodoma kwa kiwango cha lami ya njia nne yenye urefu wa kilometa 112.3 ili kupunguza msongamano katika jiji hilo mikataba iliyosainiwa ni baina ya Wakala wa Barabara

u3-01.png

(TANROADS) kwa niaba ya Serikali na wakandarasi wawili Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) na AVIC INTL Project Engineering Company walioshinda zabuni ambao watajenga barabara hiyo kwa kipindi cha miezi 36. Mkandarasi Civil Engineering Construction Corporation

(CCECC), atajenga kilometa 52.3 kuanzia Nala – Veyula – Mtumba – Ihumwa Dry Port na mkandarsi AVIC INTL Project Engineering Company atajenga kilometa 60 itakayoanzia Ihumwa Dry Port – Matumbulu hadi Nala.

u2-01.png
u1-01.png

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kamwelwe

SERIKALI IMESAINI MIKATABA MIWILI YA UJENZI WA BARABARA YA MZUNGUKO WA JIJI LA DODOMA KM 112.3 - Matokeo ChanyA+
 
Tanzania signs road construction agreements with two Chinese firms
By
Nyawira Mwangi
-
19 hours ago

139205424_15944637956521n-300x200.jpg

This photo taken on July 10, 2020, shows TANROADS Chief Executive Officer Patrick Mfugale (R, front) and AVIC INTL Project Engineering Company representative Li Huan (L, front) attend a signing ceremony in Tanzania’s capital Dodoma. (Xinhua)

Tanzania and two Chinese firms have signed agreements for the construction of Dodoma City Outer Dual Carriageway Ring Road worth about 95.7 million U.S. dollars.

The construction of the 112.3-kilometer road to be financed by the African Development Bank and the government of Tanzania marked another milestone towards improvement of the east African nation’s infrastructure.

The agreements were signed Friday in the capital Dodoma between the Tanzania National Roads Agency (TANROADS), on behalf of the government of Tanzania, and representatives from China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) and AVIC INTL Project Engineering Company.

Speaking after the signing of the agreements, Patrick Mfugale, TANROADS Chief Executive Officer, said CCECC will construct 52.3 kilometers of the road for 100.8 billion Tanzanian shillings (about 43.5 million U.S. dollars) within 39 months and AVIC INTL Project Engineering Company will construct 60 kilometers of the road at 120.86 billion Tanzanian shillings within 43 months.

Mfugale, who was flanked by the Minister of Works, Transport and Communications Isack Kamwelwe, said the construction of the road will help boost the economy.

Tanzania signs road construction agreements with two Chinese firms
 
Wow nice this is what I'm talking about.
Wangeenda na ile design ya kiarabu ningewamind sana.
design ya Kiswahili ipo na itaendelea kuwepo pia kama White House iliyojengwa zaidi ya miaka 219 miliyopita! Huo ni ukumbi tu!
 
Back
Top Bottom