MasterGamaliel
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 923
- 1,001
Tatizo la Mtanganyika ni Kwamba Tanganyika ilijichanganya kwa kui-underestimate Zanzibar ule msimamo wao wa Zanzibar wa kuungana na Tanganyika with cautiousness ya ile hatua ilizozichukua Zanzibar za kuwa na serikali yake.Nadhani tujiunge tukiwa tumegawanyika. Tangayika iingie kama Tangayika na Zanzibar iingie kama Zanzibar,
Mfano kwa Sasa Zanzibar ina Office zake za Statehood and Sovereignty ( ofisi za tahadhari ya Sovereignty ya nchi yao). Ajabu na Kizembe Tanganyika haina Office hizo, ofisi zilizopo ni za Pamoja ( za Muungano), matokeo yake government agencies za Tanganyika haziwezi kuendesha kikao cha Tanganyika pekee yao kuanzia ngazi ya madiwani. (Reminder DCs in Tanzania Bara waweza tokea Zanzibar, ila sio wa Bara kuwapo kwenye madiwani wa kule Visiwani).Tanganyika ni nyika kweli kweli!