I see! Basi kutakuwa na tatizo... I hope wahusika wataliona mapema; ili hatimae ama yabaki majina 4 (kwa kuondoa la mwisho bila replacement) au kuongeza jina lingine ku-replace hilo jina la mwisho!Mkuu mimi nimeweka kama nilivyopokea. Wahusika wanaweza kutolea ufafanuzi.
Naona wamebakisha manne ... sasa sijui kuna atakayepewa bonus kwa kuongezwa....wamebakisha manne.I see! Basi kutakuwa na tatizo... I hope wahusika wataliona mapema; ili hatimae ama yabaki majina 4 (kwa kuondoa la mwisho bila replacement) au kuongeza jina lingine ku-replace hilo jina la mwisho!
Nimesha rekebisha.....Imeendelea leo Karume CBD
MUIGIZAJI BORA WA KIKE
1. Chuchu Hansy - Laura
2. Khadija Ally - 3 Days
3. Frida Kajala - Hii ni Laana
4. Rachel Bithulo Njingo - Nimekosea Wapi
5. Khadija Ally - Penzi la Baba
FILAMU BORA YA MWAKA
1. Hii ni Laana - Frida Kajala
2. Nimekosea Wapi - Rachel Bithulo
3. Safari ya Gwalu - Daniel Manege
4. Mfadhili Wangu - Daniel Michael Tairo
5. Facebook Profile - Meya Shabani Khamis
hahahahaaaaaaa umejua kuzivunja mbavu zangu..mi mwenyewe nimeshtukaSasa huyo Feza Kessy ataendelea kuwa chipukizi hadi lini?! Faiza,popote ulipo nitafute bhana... yaani hadi leo bado chipukizi tu!!
Unataka tuzo kachukue fomu jaza yaani hapo wasanii washindwe maana huna pa kulalamika kwanin hujapata tuzo....WAMEWAWEZAAyah! Hapo kweli lazima wasizingizie Vodacom na Coca Cola... tena usishangae siku ya siku wakaacha kushiriki kwa kisingizio cha "kutokuwa na imani na wadhamini...!" Let's wait and see. Tena na hapo ndipo nimeuelewa huo utaratibu wa msanii mwenyewe kutuma maombi ya category ipi ashiriki!
Okay... kwahiyo walishashtukia sio?! Au labda wali-interchange Khadija Ally na Riyama Ally kwenye moja ya hayo majina!Naona wamebakisha manne ... sasa sijui kuna atakayepewa bonus kwa kuongezwa....wamebakisha manne.
pengine watarekebisha maana wanaleta hayo majina ni kampuni inaitwa inovex labda watarekebisha kulikuwa na makosa kwenye kuandika....Okay... kwahiyo walishashtukia sio?! Au labda wali-interchange Khadija Ally na Riyama Ally kwenye moja ya hayo majina!
Hata mimi hii nimeipenda maana kuna sura mpya na ukiangalia wana uwezo mkubwa sana....mimi nimependa kuona sura ngeni sio kina diamond(mziki) wema sepetu(uigizaji) joti (wacheshi) n.k yaani round inakuwa ya mtu mmoja kila awards mpaka tunawachoka.
Halafu natamani ukurasa wao wa fb ndio utumike kwa watu kupiga kura na kura zihesabiwe atakaeshinda ndio apewe tuzo....sio watoe wao tathmin huyu anafaa kuchukua au hafaihahahahah sasa hivi hakuna lawama ni vigezo na masharti kuzingatiwa.... sijui kiba kasusa?
kumbe na wewe uliliona ee?Hata mimi hii nimeipenda maana kuna sura mpya na ukiangalia wana uwezo mkubwa sana....
kwani wamemaliza vipengele vyote? diamond ni kama maji usipo yanywa utaoga, au utafulia etckumbe na wewe uliliona ee?
yaani EATV nimewakubali maana masikio yalishachoka kusikia majina ya kina diamond, wema,n.k