EATV awards 2016 nominees: Hatua ya kupiga kura

EATV awards 2016 nominees: Hatua ya kupiga kura

Mkuu mimi nimeweka kama nilivyopokea. Wahusika wanaweza kutolea ufafanuzi.
I see! Basi kutakuwa na tatizo... I hope wahusika wataliona mapema; ili hatimae ama yabaki majina 4 (kwa kuondoa la mwisho bila replacement) au kuongeza jina lingine ku-replace hilo jina la mwisho!
 
I see! Basi kutakuwa na tatizo... I hope wahusika wataliona mapema; ili hatimae ama yabaki majina 4 (kwa kuondoa la mwisho bila replacement) au kuongeza jina lingine ku-replace hilo jina la mwisho!
Naona wamebakisha manne ... sasa sijui kuna atakayepewa bonus kwa kuongezwa....wamebakisha manne.
 
Yaani sijui kwanini lakini my intuition ndivyo inavyoniambia kwamba hatashiriki!
Na hivi ni uamuzi wa msanii kutoshiriki au lah na hakuna wakumuongeza basi anaweza kukacha kuhofia kushindwa au akasusa
 
Imeendelea leo Karume CBD

MUIGIZAJI BORA WA KIKE
1. Chuchu Hansy - Laura
2. Khadija Ally - 3 Days
3. Frida Kajala - Hii ni Laana
4. Rachel Bithulo Njingo - Nimekosea Wapi
5. Khadija Ally - Penzi la Baba

FILAMU BORA YA MWAKA
1. Hii ni Laana - Frida Kajala
2. Nimekosea Wapi - Rachel Bithulo
3. Safari ya Gwalu - Daniel Manege
4. Mfadhili Wangu - Daniel Michael Tairo
5. Facebook Profile - Meya Shabani Khamis
Nimesha rekebisha.....
 
Sasa huyo Feza Kessy ataendelea kuwa chipukizi hadi lini?! Faiza,popote ulipo nitafute bhana... yaani hadi leo bado chipukizi tu!!
hahahahaaaaaaa umejua kuzivunja mbavu zangu..mi mwenyewe nimeshtuka
 
Ayah! Hapo kweli lazima wasizingizie Vodacom na Coca Cola... tena usishangae siku ya siku wakaacha kushiriki kwa kisingizio cha "kutokuwa na imani na wadhamini...!" Let's wait and see. Tena na hapo ndipo nimeuelewa huo utaratibu wa msanii mwenyewe kutuma maombi ya category ipi ashiriki!
Unataka tuzo kachukue fomu jaza yaani hapo wasanii washindwe maana huna pa kulalamika kwanin hujapata tuzo....WAMEWAWEZA
 
mimi nimependa kuona sura ngeni sio kina diamond(mziki) wema sepetu(uigizaji) joti (wacheshi) n.k yaani round inakuwa ya mtu mmoja kila awards mpaka tunawachoka.
 
Naona wamebakisha manne ... sasa sijui kuna atakayepewa bonus kwa kuongezwa....wamebakisha manne.
Okay... kwahiyo walishashtukia sio?! Au labda wali-interchange Khadija Ally na Riyama Ally kwenye moja ya hayo majina!
 
Okay... kwahiyo walishashtukia sio?! Au labda wali-interchange Khadija Ally na Riyama Ally kwenye moja ya hayo majina!
pengine watarekebisha maana wanaleta hayo majina ni kampuni inaitwa inovex labda watarekebisha kulikuwa na makosa kwenye kuandika....
 
mimi nimependa kuona sura ngeni sio kina diamond(mziki) wema sepetu(uigizaji) joti (wacheshi) n.k yaani round inakuwa ya mtu mmoja kila awards mpaka tunawachoka.
Hata mimi hii nimeipenda maana kuna sura mpya na ukiangalia wana uwezo mkubwa sana....
 
Unataka tuzo kachukue fomu jaza yaani hapo wasanii washindwe maana huna pa kulalamika kwanin hujapata tuzo....WAMEWAWEZA
hahahahah sasa hivi hakuna lawama ni vigezo na masharti kuzingatiwa.... sijui kiba kasusa?
 
hahahahah sasa hivi hakuna lawama ni vigezo na masharti kuzingatiwa.... sijui kiba kasusa?
Halafu natamani ukurasa wao wa fb ndio utumike kwa watu kupiga kura na kura zihesabiwe atakaeshinda ndio apewe tuzo....sio watoe wao tathmin huyu anafaa kuchukua au hafai
 
Hata mimi hii nimeipenda maana kuna sura mpya na ukiangalia wana uwezo mkubwa sana....
kumbe na wewe uliliona ee?

yaani EATV nimewakubali maana masikio yalishachoka kusikia majina ya kina diamond, wema,n.k
 
kumbe na wewe uliliona ee?

yaani EATV nimewakubali maana masikio yalishachoka kusikia majina ya kina diamond, wema,n.k
kwani wamemaliza vipengele vyote? diamond ni kama maji usipo yanywa utaoga, au utafulia etc
Labda awe ameamua kupotezea
 
Back
Top Bottom