EATV awards 2016 nominees: Hatua ya kupiga kura

EATV wamefanya Makosa makubwa sanaaaaaa!!!!

Ujue huwezi toa Form ya kuomba kuwa katika category fulani ya tuzo! Hayo ni makosa makubwa ambayo EATV Wameyafanyaa!!

Wasanii sio wao waombe kuwa katika kinyang'anyiro hapanaa wao waangalie nani anafaa na nani hafai ndio watoe majina lakini sio kuwa msanii fulani aombee!!!

Kiupaande wangu na kimtazamo watakao kuwa katika hizi tuzo basi wao wana uchu sana na tuzo!! Angalia majina yaa wasanii chipukizi hujamuona Harmonize,Rayvanny wala nani walio ingie wote ni kweli wana uchu na tuzo ndo maana waliomba!!!

Sijawahi ona duniani popote pale msanii anaomba kuwa katika category fulani Only in Tanzania!!! Madhara ya hii kitu ni watu wasio stahili watapewa na wanao stahili watabaki bilaa tuzo!

Pia tuzo zitapoteza mvuto! Labda kipindi cha show walizimishe wasanii wakubwa wawepo ila tofauti na hapo tuzo zishapoteza mvuto!!

Kingine tuzo zinatolewa tarehe 10 mwezi ujao hadi leo tarehe 9 vipengele bado havijatoka msanii atapigiwa kura sa ngapi na lini?

Eatv wamekurupuka wajipangee kuna kipengele cha tuzo ya heshima waweke wazi kuwa nacho msanii anaombaa au wao wanaamua kuwa tuzo ya heshima tumpe fulani kulingana na alicho fanya au inakuwaje???

Tanzania kuendelea ni Bado sanaaa hasa hii sekta ya mziki naomba tumuachie tuu Mond na wasanii wengine watoa tuzo wamefail sanaaaaaa

Huwezi omba tuzo kama unaomba kujiunga na ST.Fulani kidato cha kwanza! Msanii ajaze Form aombe tuzo aje aombe kura hivi hawa wamechanganyikiwa?

POOR EATV AWARDS!!! POOOR POOOR POOOR ITS NON-SENSE
 
kumbe na wewe uliliona ee?

yaani EATV nimewakubali maana masikio yalishachoka kusikia majina ya kina diamond, wema,n.k
wamefanya vyema sana na nimependa kwenye vipengele hivyo vya filamu japo majina ya kina Diamond hayakwepeki kabisa kuna baadhi ya category lazima yawepo
 
umekimbilian kuongea kabla ya kutafakari bora ungeuliza kwanza.... msanii anajipendekeza kushiriki kwenye category fulani halafu kuna kamati ilikaa na kupitia vigezo na masharti kama mtu fulani anafaa au lah ndio mwisho wa siku wakaja na majina matano kila kipengele...sio kwamba ukijipendekeza basi umepita....bali kuna vigezo na masharti.
Hapo kwenye blue napo umekurupuka jifunze kuuliza kabla ya kufanya hitimisho...kuna mwezi mzima wa kupiga kula tunzo zinatolewa mwezi wa 12 tarehe 10 na upigaji kura unaanza jumatatu...

Hapo sio kwamba hujawai kuona duniani bali ulitaka tunzo zote zifanane mchakato wake ndio uone ziko vizuri.... hapo sio kwamba ukijipendekeza ndio umepita bali vigezo na masharti kuzingatiwa....halafu swala la mtu kustahili au kutostahili ni maono yako tuu.

Bado huna hoja za msingi bali unashangaa lakini ukiulizwa hoja unasema haijawai kutokea duniani...
Hata hivyo watanzania ni mabingwa wa kulalamika na kutoa lawama.
Wakifanya wanje ndio mnaona ubunifu...

Hata mnapo omba kazi huwa mnapeleka maombi wenyewe na kuchambuliwa kama mnakidhi vigezo na wanao kidhi hupewa kazi.
Ulicho nifurahisha hakuna kizuri ulicho ona kwenye tuzo hizi.
Hoja zako ziko wapi?
 
kwani wamemaliza vipengele vyote? diamond ni kama maji usipo yanywa utaoga, au utafulia etc
Labda awe ameamua kupotezea
hiki kimbunga kipitilie mbali ungejua mimi ni team king kiba usingeni quote kwa kumtaja huyo.
 
Naona umeanzisha uzi hili kumpiga majungu king Kiba.... Sijui uvccm kwanini mnapenda majungu
 
hahahaa! mliziba ule tunatokea huku wallah Mungu SI Salam SK, nimekupenda bureeee.
 
sijaelewa process nzima ya ugawaji wa hizi tuzo.. hazijanisisimua
 
Kwa hiyo mkuu umemaindi kwa kuwa Rayvanny na Harmonise Hawapo?

Hao sio watoto wadogo huo ni utaratibu wao EATV na walitangaza wanaotaka kuwemo waende kuchukua form au kujaza form online watu hawakwenda kwa sababu zao wewe Ulitaka wawashikie bakora?!
 
Mbona sijaona KENYA, UGANDA, BURUNDI ktk hicho kipengele huku ukisema ni cha EAST AFRICA COUNTRIES
 
Mbona sijaona KENYA, UGANDA, BURUNDI ktk hicho kipengele huku ukisema ni cha EAST AFRICA COUNTRIES


  • Navy Kenzo

  • Mashauzi Classic

  • Team Mistari (Kenya)

  • Sauti Sol (Kenya)

  • Wakali Wao
VIDEO BORA YA MWAKA
Nominees:

  • Namjua - Shetta

  • Njogereza - Navio

  • Aje - Ali Kiba

  • Don't Bother - Joh Makini

  • NdiNdiNdi - Joh Makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…