Kituo cha east africa radio na tv kimeanzisha awards zitakazoanza kutolewa mwaka huu december.
Wasanii wa bongo fleva takriban 20 watashiriki kuwania tuzo hizo.
Mwanamuziki bora wa kike
Linah
Vanessa mdee
Lady jaydee
Ruby
Lilian mbazazi(uganda)
Mwanamuziki bora wa kiume
G nako
Alikiba
Ben paul
Mwana Fa
Shetta
Wimbo bora wa mwaka
Kamatia chini-- navy kenzo
Aje -- alikiba
Ndi ndi ndi -- lady jaydee
Moyo mashine --- pen paul
Don bother -- joh makini
Video bora ya mwaka
Ndi ndi ndi -- lady jaydee
Namjua --- shetta
Don bother -- joh makini
Ake --- alikiba
Njogereza -- navio (uganda)
Kikundi bora cha mwaka
Navy kenzo
Sauti sol (kenya)
Wakali wao
Mashauzi classic
Team mistari(kenya)
Mwanamuzi bora chipukizi
Mayunga --- nice couple
Bright --- nitunzie
Rocky baby ---
Man fongo --- hainaga ushemeji
Fezza kessy -- sanuka
Filamu bora ya mwaka
Hii ni laana
Mfadhili wangu
Fecebook profile
Nimekosea wapi
Safari ya gwalu
Muigizaji bora wa kike
Kajala masanja
Chuchu hans
Khadija ally
Rachel buthelo
Muigizaji bora wa kiume
Ally said
Meya shabani
Daudi michael (duma)
Salmin ahmed (gabo)
Doto husein