EATV awards 2016 nominees: Hatua ya kupiga kura


Kama vigezo vitafuatwa washindi wetu ni hao.........
 
Kabayser,Chegge,Baraka wameamua kuzikacha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
usimsikilize huyo kuna kamati inayo husika kupitia majina na kulikuwa na academy....na ni wasanii wenyewe ndio wanaji nominate halafu majina yao yanakwenda kupitiwa....
aaaah kumbe.......apo nimeelewa
 
Kama unampenda sana Diamonds nenda madale madale akakupe kibaruwa cha kumchambisha Tiffa.
>>Mkuu ninaokota KOROSHO huku SHAMBANI kwangu kg 1 @ 4000 ninakaribia kupata kg 1,2500 .Thanks Magufuli For Your support in THIS year>>nitakutafuta """MATOLA " nikupe Kitu cha mgongo>>
 
Naona Navy Kenzo, Lady Jayde na Ali Kiba watabeba tuzo zao kwenye vipengele walivyowekwa
 
Wasanii kutoka WCB wote hawakutaka kushiriki
Diamond ni baloza wa vodacom na vodacom ndo wadhamin wa hizi tuzo
Jamaa kijiweka pembeni kuzuia maneno ya kuleta upendeleo kwake
Huo mkataba unawahusu nini wakina hormonize na wenzie???
Haijapendeza kujitenga na shuhuli ya home tena hawa ambao ndo wanatoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…