Jimmy George
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 1,733
- 1,648
Kumbe kisa tuzo hahahahahaha hata ingekuwa mm siwezi kupeleka jina langu eti niwe nominated aaaaah waendelee tu kumchunia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yong killerNani aliyesema?
Diamond kawahi kusema labda kama sio mfuatiliaji?Huo mgogoro wa muda mrefu unao zungumzia ulithibitishwa na nani kati ya hizo pande mbili ?
Hao EATV &EA RADIO na Dimond wote wapuuzi.kwenye kipindi cha planet bongo watangazaji wa Dullar na juma junior wametokwa na povu baada kusikia kauli ya diamond aliosema sasa hivi akitoa nyimbo hategemei radio na TV pekee kusambaza mziki wake Bali a natumia mitandao ya kijamii kuhakikisa mziki wake unafika kwa mashabiki kwa ukubwa alionao, tofauti na zamani redio na TV zilikuwa na nguvu kumshusha msanii
Dullar amesema diamond amekosea kutoa kauli hiyo na ametoa boko na angesema hivo kabla hajawa Diamond wakati anatoa mbagala
Huku juma junior akisema diamond ametoa kauli ya kijiweni na ya kijinga.
Ikumbukwe diamond na EA media wamekuwa na mgogoro wa muda mrefu kiasi hawachezi nyimbo za Diamond kwenye vituo vyao.
Ilibuka upya baada ya diamond kugoma kushiriki tuzo za EATV awards ,diomond hakuchukua form za kushiriki.
Sasa kama unamshaur akomae na Ruge mbona bado anabak palepale kutegemea TV na redio?Mond bora komaa na master mind mwenyewe(RUGE)...wachane tu hao EA
Mkuu habari?upo chombo gani siku hiziHuo mgogoro wa muda mrefu unao zungumzia ulithibitishwa na nani kati ya hizo pande mbili ?
Kaka Kauli ya Diamond haihitaji uwe na Degree ili uielewee kama utakuwa tayari kuelewa tutakuelewesha ......Kwanza Diamond Hajasema kuwa Hategemei kabisa Radio na TV hiyo moja! Pili diamond kaongea kwa kuangalia sahizi maisha yanavyokwendaa...Bado tv na radio station zinanguvu dunia kote sio tz tu hawa si ndio wanaolia nyimbo zao zipigwe MTV base urban TV na nyingine nyingine halafu leo wanakunya nyodo kweli masikini akipata matako hulia mbwata
Alipaswa kusemaje? Hivi hapa bongo vituo vikubwa ni Cloud na EATV hawa EATV wanao taka kusambaza kazi za Diamond kwa Siku wanacheza mara ngapi kazi zake kwenye Radio na TV tuanzie hapoOyaa, kubali yaishe Diamond hapaswi kutamka hayo maneno kwa biashara anayoifanya.
Unazidiwa upeo wa kufikiri hadi na watu wenye akili fupi ya shule ya msingi tu.
Hategemei TV wala Radio Bali anategemea kiki ili kuuza nyimbo zake.
Hivi yupo kweli?
Ifike muda twende na wakati sahizi sio zama zile mambo yanabadirika! Mbona Vituo vingine havijakasirika iwe EATV tuu kwanini? Wao ndio wana uchungu sana?
Think umenielewa!
-Danya-
Hebu leteni iyo interview tusikilize wasitafute kiki kupitia mondi kwanza hayo maelezo kibaya kaongea nn kunaubaya ukisema hutegemei tu radio na tv bali na social media hao EATV waache ubashite afu wamemkomalia mondi kivipi au kisa alisusia tuzo uchwara zao si wanamsanii wao pendwa waendelee nae WCB hatutoi kiki mfyuuu[emoji57]