Hahahaha hata kama aisee[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Yaan comment bila huyo ni sawa na chakula nzuri ila haina chumvi.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hahahaha hata kama aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usijali ndugu yangu. Bora mimi kuliko huyo kompany aisee[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Tuvumiliane tuu ndugu yangu Bailly5 japo una umia umia sana kama pacha wake na Kompany vile, punguza bhana.
Ila Gundogan kawazidi, atakaa nje msimu mzima sasa.[emoji23] [emoji23] [emoji23] usijali ndugu yangu. Bora mimi kuliko huyo kompany aisee
Yule jamaa hana tofauti na Marco Reus yule.Ila Gundogan kawazidi, atakaa nje msimu mzima sasa.
Huyi ni mfanyakazi hewa
Kama hizo habari ni za kweli bac kituo cha EATV kitapunguza idadi kubwa ya watazamaji & wasikilizaji nikiwemo na mm, kwanza shindano lenyewe waliliendesha kifigisufigisu tu, huwezi kuwatangazia wasanii wakubwa tena hususan kama kundi la WCB wajaze form za kujipendekeza It's non sense kwan wanagombea nafasi ya siasa au form ya kujiunga na form one
Tuzo gani hizo mpaka ujaze fomu kama unaomba mkopoTangu kutolewa kwa tuzo za EATV awards vituo vya eatv na ea radio vimekuwa havipigi nyimbo za msanii wowote wa WCB wala kutoa habari zao
Tetesi zinasema kitendo cha WCB kutoshiriki tuzo hizo hakijawafurahisha Eatv na kuamua kusitisha huduma hiyo
Ikumbukwe Eatv awards ilikuwa ili kushiriki msanii lazima ajaze form za kujipendekeza kwenye vipengele kitendo kilichofanya wasanii wengi wasishiriki.
Ikumbukwe mwaka 2015 Eatv na radio walikuwa hawapigi nyimbo za Diamond platnumz mpaka mapema mwaka huu mwezi wa 4 waliposuluhisha pande zote mbili.
View attachment 446963
I buy this..Mmmhhh! Habar yako feki bwana hakuna kitu kama hicho,kwa uelewa wangu mdogo wadhamini wakuu wa EATV AWARDS walikua ni VODACOM,Diamond ni balozi wa VODACOM.Kwa kuwa tu balozi wa VODACOM Diamond hakupaswa kushiriki kwenye Tuzo hizo wala member yeyote wa WASAFI. Ni kama ilivyo mashindano ya bahati nasibuu unaambiwa kabisa members wala wanafamilia wao hawapaswi kushiriki katika bahati nasibu hiyo ili kuondoa dana ya upendeleo.Sidhani kama ni kweli EATV hawapigi nyimbo za WASAFI sababu ya kutoshiriki hilo siyo kweli,fanya utafiti kabla ya kusema.
Hapo walichemka sanaa ..Nawapenda sana EATV,ila kwenye hii ishu sijui walikuwa wanafikiria nini , eti tuzo ya kujipendekeza, that's nonsense