EATV na EA Radio wasitisha kucheza nyimbo za Wasanii wa WCB

EATV na EA Radio wasitisha kucheza nyimbo za Wasanii wa WCB

[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Tuvumiliane tuu ndugu yangu Bailly5 japo una umia umia sana kama pacha wake na Kompany vile, punguza bhana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] usijali ndugu yangu. Bora mimi kuliko huyo kompany aisee
 
Wazisipige tu hizo nyimbo za WCB...
1-Hawajatoa ushirikiano pale walivyo ombwa wajipendekeze kwa mujibu wa kanuni namba 22.
2-nyimbo zenyewe ni. Com wakati tunataka do-tz.
Hamna namna.
 
Kama hizo habari ni za kweli bac kituo cha EATV kitapunguza idadi kubwa ya watazamaji & wasikilizaji nikiwemo na mm, kwanza shindano lenyewe waliliendesha kifigisufigisu tu, huwezi kuwatangazia wasanii wakubwa tena hususan kama kundi la WCB wajaze form za kujipendekeza It's non sense kwan wanagombea nafasi ya siasa au form ya kujiunga na form one

Huu ushauri wako wasanii hawatakiwi kuuchukua? sidhani kama WCB hawakuchukua form kwakuwa wao ni wakubwa sana... wana sababu zao kama ambavyo wengine hawakuchukua.... wasanii hawatakiwi kudharau mambo yanayo wahusu na bila shaka WCB hawajadharau na hakuna msanii mkubwa kuzidi media... hizi media zipo na zitaendelea kuwepo.

Mimi juzi tuu hapa nimeona nyimbo ya Diamond EATV inapigwa hivyo hii habari ni ya uongo na uchonganishi lakini wasanii hawapaswi kudharau media yeyote na wakifanya hivyo mimi nitawambia...hizi media zina michango mingi kwa kukua kwao na bahati mbaya huwa tunaziporomoshea lawama tuu bila kuuliza upande wapili maana huwa tuna wapenda sana wasanii wetu...ni kama yale ya Jide na Clouds media
 
Huyu jamaa ameshakuja na hii habari zaidi ya mara moja,hakuna kitu kama hicho EA tv & radio nyimbo zote zipo kwenye rotation.
 
Ila n uzuzu hv hata uwe wewe unaweza kujpendekeza kweli mh hata mm ncngefanya esp ukiangalia ana tuzo nyng ambazo anakua nominated
 
Mmmhhh! Habar yako feki bwana hakuna kitu kama hicho,kwa uelewa wangu mdogo wadhamini wakuu wa EATV AWARDS walikua ni VODACOM,Diamond ni balozi wa VODACOM.Kwa kuwa tu balozi wa VODACOM Diamond hakupaswa kushiriki kwenye Tuzo hizo wala member yeyote wa WASAFI. Ni kama ilivyo mashindano ya bahati nasibuu unaambiwa kabisa members wala wanafamilia wao hawapaswi kushiriki katika bahati nasibu hiyo ili kuondoa dana ya upendeleo.Sidhani kama ni kweli EATV hawapigi nyimbo za WASAFI sababu ya kutoshiriki hilo siyo kweli,fanya utafiti kabla ya kusema.
 
Tangu kutolewa kwa tuzo za EATV awards vituo vya eatv na ea radio vimekuwa havipigi nyimbo za msanii wowote wa WCB wala kutoa habari zao

Tetesi zinasema kitendo cha WCB kutoshiriki tuzo hizo hakijawafurahisha Eatv na kuamua kusitisha huduma hiyo
Ikumbukwe Eatv awards ilikuwa ili kushiriki msanii lazima ajaze form za kujipendekeza kwenye vipengele kitendo kilichofanya wasanii wengi wasishiriki.

Ikumbukwe mwaka 2015 Eatv na radio walikuwa hawapigi nyimbo za Diamond platnumz mpaka mapema mwaka huu mwezi wa 4 waliposuluhisha pande zote mbili.
View attachment 446963
Tuzo gani hizo mpaka ujaze fomu kama unaomba mkopo
 
Nawapenda sana EATV,ila kwenye hii ishu sijui walikuwa wanafikiria nini , eti tuzo ya kujipendekeza, that's nonsense
 
Mmmhhh! Habar yako feki bwana hakuna kitu kama hicho,kwa uelewa wangu mdogo wadhamini wakuu wa EATV AWARDS walikua ni VODACOM,Diamond ni balozi wa VODACOM.Kwa kuwa tu balozi wa VODACOM Diamond hakupaswa kushiriki kwenye Tuzo hizo wala member yeyote wa WASAFI. Ni kama ilivyo mashindano ya bahati nasibuu unaambiwa kabisa members wala wanafamilia wao hawapaswi kushiriki katika bahati nasibu hiyo ili kuondoa dana ya upendeleo.Sidhani kama ni kweli EATV hawapigi nyimbo za WASAFI sababu ya kutoshiriki hilo siyo kweli,fanya utafiti kabla ya kusema.
I buy this..
 
Back
Top Bottom