Halafu una niambia wewe kama nani!!?Nilikwambia mim
Acha mahaba ya kijinga
Word!Mmmhhh! Habar yako feki bwana hakuna kitu kama hicho,kwa uelewa wangu mdogo wadhamini wakuu wa EATV AWARDS walikua ni VODACOM,Diamond ni balozi wa VODACOM.Kwa kuwa tu balozi wa VODACOM Diamond hakupaswa kushiriki kwenye Tuzo hizo wala member yeyote wa WASAFI. Ni kama ilivyo mashindano ya bahati nasibuu unaambiwa kabisa members wala wanafamilia wao hawapaswi kushiriki katika bahati nasibu hiyo ili kuondoa dana ya upendeleo.Sidhani kama ni kweli EATV hawapigi nyimbo za WASAFI sababu ya kutoshiriki hilo siyo kweli,fanya utafiti kabla ya kusema.
Latiba = RatibaWako sawa kama mondi kila mondi ikifanya mahojiano anaanza mawingu huku kungine anaenda kama kukamilisha latiba
Tangu kutolewa kwa tuzo za EATV awards vituo vya eatv na ea radio vimekuwa havipigi nyimbo za msanii wowote wa WCB wala kutoa habari zao
Tetesi zinasema kitendo cha WCB kutoshiriki tuzo hizo hakijawafurahisha Eatv na kuamua kusitisha huduma hiyo
Ikumbukwe Eatv awards ilikuwa ili kushiriki msanii lazima ajaze form za kujipendekeza kwenye vipengele kitendo kilichofanya wasanii wengi wasishiriki.
Ikumbukwe mwaka 2015 Eatv na radio walikuwa hawapigi nyimbo za Diamond platnumz mpaka mapema mwaka huu mwezi wa 4 waliposuluhisha pande zote mbili.
View attachment 446963
Ni upuuzi pia kuendelea kumkumbatia mtu ambaye haja-apreciate kile unachokifanya weweKama kweli hawapigi nyimbo zao kwa kigezo cha kutoshiriki hizo tuzo basi management ya EATV ni mambayumbayu.
Wao wenyewe walitoa option ya Msanii kujipendekeza,basi wakubali kuwa hawakua tayari kujioendekeza.
Kuna tuzo pia za Movie,pia akina Wolper,Wema Sepetu na Wasanii wengine wa tasnia ya Filamu,je hii itawagusa nao kiasi kwamba filamu zao hazitachezwa kwa sababu ya Kutojipendekeza?
Wat goes around comes aroundNa matangazo ya vodacom ya diamond wanayarusha au wamesitisha?
yani umeuliza swali la maana sana. kwa kifupi chibu huwez kumkwepa nchi hii. usipo msikiliza utamwona kwenye mabango barabarani.Na matangazo ya vodacom ya diamond wanayarusha au wamesitisha?
HAHAHAHAHA HIKI ni kituko najua wewe si mshabiki wa Diamond. yani Diamond awe mkubwa kuzidi EARADIO? hahahaha tafadhali msitoe ushauri huu kwa wasanii. hizo hizo radio wakati anatoka ndio zilikuwa zinapiga mziki wake hadi ana wika... Sidhani kama Diamond anaweza akawa na akili kama hizi.Toka lini Kanye West achukue form ya kujipendekeza kupewa tuzo this is utter non sense... Radio yenyewe ni ya hovyo hovyo.. diamond is biggger than that local radio
hapana, tutawachukulia hatua kali wasafi kwa kuwa wana-effect kubwa na hizo TUZO na music industry, hao wasanii wachanga tutawasamehe.... (from SAM MISAGO/MANAGER)Wasanii wengine ambao hawakushiriki kando ya wasafi wanawachukulia hatua gani?? Hahahah media houses za bongo upuuzi mtupu kweli
Tuzo zote duniani lazima ujaze fomu za kukubali masharti na vigezo vyao ili ushiriki hata grammy ndio maana tuzo za kili zinakuaga na madudu sbb wanawashirikisha wasanii hata wasiotaka kushiri sbbYaani Diamond achukue fomu ajaze ili eti wimbo wake ufikiriwe!!!Anaanzaje kwanza
Teh nani kakwambia hawajazagi fomu hao kina wasafi wanaposhiriki mpaka vijituzo vya uchochoroni nje ya tanzania wanajaza fomu kwa nini wasijaze kwao lazima ujaze fomu kuonyesha unakubaliana na vigezo na masharti yao na wao wakubali kama unakidhi kushiriki kipengele unachotaka kushirikiToka lini Kanye West achukue form ya kujipendekeza kupewa tuzo this is utter non sense... Radio yenyewe ni ya hovyo hovyo.. diamond is biggger than that local radio
Kule shinyanga wamemjua kutokana na hiyo radio. Habar zenyew za uongo wa2 mnadakia tuToka lini Kanye West achukue form ya kujipendekeza kupewa tuzo this is utter non sense... Radio yenyewe ni ya hovyo hovyo.. diamond is biggger than that local radio